mwanadodoma
JF-Expert Member
- Mar 12, 2024
- 511
- 1,110
Baba yako shahawa zake heri angekojoa nje kuliko alivyokojoa ndani ukazaliwa ***** kama weweGentleman,
ni vizuri sana ukawaheshimu wadau wa heshima wa Jf. Hakuna haja ya kuporomosha matusi jukwaani hasa unapokua pointless π
Shahawa nyingine ni za kumwaga nje zikimwagwa ndani zinaleta MICHOKO kama hilipwagu na pwaguzi mnafarijiana sio?
mbona kinyonge sana aise?
kingai alikwepo?Ukisikia akili za hapa na pale ndio hizi Sasa!Umetoka usingizini umeota,haraka haraka ukaona una hoja ya maana!
Swali jepesi,unajua maana ya shahidi?
Sasa huyo mwanasheria kama hakuwepo wakati wa huo mkutano,anaenda kutoa ushahidi wa Nini?Mashahidi wote aliowaleta Lissu ni wale walioandaa na kushiriki mkutano ambao ndio anatuhumiwa nao kufanya Uhaini!
Au ulitaka alete shahidi wa mfukoni kama wafanyavyo upande wa mashtaka?
Unakurupuka,uwe na tabia ya kupitia comment kabla ya kuanza kujibu!Hilo nilishamjibu huyu kijana wa 2000!kingai alikwepo?
Hawa wakiwa CCM akili zao hushikwa na mwemyekiti waoDaaah ila kweli,nilikuwa nimeshawasahau hao watu!
Tuwaelekeze hawa vijana wa juzi,ukiwa upande wa haki,siku zote utakuwa huru!
Uchawa hautakisaidia kitu lofa wewe utaendelea kunajisiwa hadi lini huko CCM??Elfu 7 ya kitanzania inakufanya ujitoe ufahamu??wewe inaonekana haukufuzu mafunzo ya kutukana na kuporomosha matusi jukwaani kwa ustadi zaidi kama wanachama wengine wa chadema.
inafaa urudi ukajifunze vizuri kutukana jukwaani kwa mihemko zaidi
Wewe kweli shoger kwani kazi ya shahidi ni kutetea mtu??Shahidi anongea kile anachokifahamu juu ya jambo husika na sio kumtetea mtuiliwezekanaje mtuhumiwa wa uhaini awahadae wanachama wa chadema kwamba DCI, IGP na CDF wanaweza kua mashahidi wa kutetea uhalifu na makosa yake?π
kwahiyo DCI, IGP na CDF walikua wanafahamu uhalifu na makosa ya ya huyo muhaini kuliko mwanasheria mkuu wa chadema ambae alikuepo eneo la uhalifu useless wa huyo kibaraka, right?πWewe kweli shoger kwani kazi ya shahidi ni kutetea mtu??Shahidi anongea kile anachokifahamu juu ya jambo husika na sio kumtetea mtu
inafaa ukajifunze upya jinsi ya kupata mihemko na kuporomosha matusi jukwaani unapokua pointless na itapendeza zaidi πUchawa hautakisaidia kitu lofa wewe utaendelea kunajisiwa hadi lini huko CCM??Elfu 7 ya kitanzania inakufanya ujitoe ufahamu??
sikurupuki dogo, Jibu swali.Unakurupuka,uwe na tabia ya kupitia comment kabla ya kuanza kujibu!Hilo nilishamjibu huyu kijana wa 2000!
Inaonekana humjui Nshala tangu wakiwa na Lisu pale LEAT. Rudi darasani bwa sheeehBadala yake, akawachagua Myika, Amani, Brenda na Heche ambao wote kwa pamoja walimkaanga na kumsagia kunguni vizuri sana mwenyekiti wao huyo anaekabiliwa na tuhuma za uhaini?
Je, alionao kwamba mwanasheria huyo wa mchongo wa chade angemchoma zaidi kizimbani?
Au,
Je, hamuamini mwanasheria huyo au uwezo wa mwanasheria huyo ni mdogo sana, kama ambavyo daima hua sote tunamuona anavyohangaika na kubabaika kuelezea mambo madogo tu ya kisheria kuhusu chadema na Lisu kwa ujumla?π
Mungu Ibariki Tanzania
Siwezi kujibu mara 3 swali ambalo majibu yake yamo humu!Halafu siwezi kushuka kiasi hicho,endelea na wengine!Mtu ambaye ameshikiwa akili,sio wa kufanya naye mjadala!Hilo naliepuka so endelea na wengine wa aina Yako!Usiku mwemasikurupuki dogo, Jibu swali.
shida yako kubwa ni kihisi una akili kuzidi wengine kumbe kilaza tu.
kitendo cha lissu kutomchagua yule babu ni alijua tu angepigwa KO kortini ... Mtu kujieleza tu ni tabu