Unadhani ni kwanini wito wa kuichangia CHADEMA pesa ya maji na kuendeshea chama hicho uliotolewa na kiongozi wake mpya unasuasua kama vile umepuuzwa?

Gentleman,
umechangia kwanza au ndio wale mnaokwepakwepa kuangalia upepo πŸ’
Mkuu, mimi ni mtu nipendaye kuweka haya mambo katika mizania sawa kwamba, "toa BORITI kwenye jicho lako kabla ya kibazi kilichopo kwenye jicho la mwenzio". Aidha, Watanzania, Wanapenda kuona UCHAGUZI MKUU WA NCHI, ukiendeshwa kama ule wa Chama Kikuu cha Upinzani.
 
Ka mdomo katakuponza
 
Tangu lini ukawa mhasibu wa Chadema mwehu wewe!
 
Cha kufurahisha vijana CCM ndo mnamnadi lisu, Mbowe mmemsahau tena
 
Cha kufurahisha vijana CCM ndo mnamnadi lisu, Mbowe mmemsahau tena
Yes,
kuomba omba kuchangiwa pesa ni jambo la fedheha na aibu sana lazma umma utahadharishwe,

utapeli ni mwingi hasa chadema πŸ’
 
Kuna kuna vituo vya afya vina hudumia zaidi ya watu laki tano lakini ha ina hata X-ray mashine ,ila pesa za kutoa rushwa na kugawa rushwa mnazipata halafu bado tuwaqmini kwamba mpo kwa ajili ya wananchi.
CCM ndio chama pekee kwa ajili ya matumaini na maendeleo ya Watanzania. Chama leo kinaomba michango eti ili kikiingia madarakani kiwaletee maendeleo! Ahahahahaha!! Uliishaiona wapi hii?
 
Atawewe changi acha unaa.
 
Tumechanga na tutaendelea kuchangia mabadiliko ya kweli kwa mustakabali wa taifa letu
 
Tumechanga na tutaendelea kuchangia mabadiliko ya kweli kwa mustakabali wa taifa letu
sio kuchanga,
mmetapeliwa na mtaendelea kutapeliwa na kibaka wa siasa kama mazuzu vile kwa mustakabali wa kua maskini zaidi wa vipato vyenu
 

Je unajua kuanzia wiki iliyopita wamechangisha kiasi gani?

Machawa . Si ulisema Mbowe kashindaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yaani machawa hawajielewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…