Unadhani vyama vya siasa wamejifunza nini kutokana na anguko la CHADEMA?

CDM is here to stay because cdm is an ideology that is embedded in the hearts of it's members!
Gentleman,
that's nature of religious institutions and political parties,

your comment is not new thingπŸ’
 
Vimejifunza kusimama imala dhidi ya kina Mwesigwa na Mtungi
kukikimbiwa na wanachama ndio kusimama imara kweli gentleman?

au vimejifunza kua kauli za viongoz ziwaeza kubomoa na kukijenga chama right?πŸ’
 
Nimejifunza kuwa kuna watu wanaua demokrasia
Gentleman,
kwamba ni kujinyima na kujikosesha fursa kwa chama cha siasa kujitenga na michakato ya kidemokrasia kwa kauli ya kiongozi wake moja tu right?πŸ’
 
Unahaha...🀣🀣🀣🀣
 
Ndio walivyo graduates wa Concern College wanatoka na sifa ya kujua kusoma na kuandika tu
gentlemen,
msipotoshane kindezi hivyo tafadhali πŸ’
 
CDM inafanya reform ya kusafisha makapi pandikizi ndani ya chama na kwa sasa tangu uhuru ndio upinzani halisi umeonekana kiasi cha kuyumbisha utawala uliopo hadi kupelekea matumizi nguvu kwa kutumia dola.
 
nccr mageuzi na cuf waliwahi kusema mapandikizi yanajiondoa yenyewe, Lakini mpaka leo vyama hivyo vya siasa ni dumavu. kauli hizo, si sawa na kujirudia kwa historia vyama vya siasa vilivyokua na viburi kama chadema na havijasimama mpaka leo?πŸ’
 
Kazi yako unaifanya vizuri sana blaablaah, shida ni kwamba mwaka huu haizai matunda. But keep trying
 
Kazi yako unaifanya vizuri sana blaablaah, shida ni kwamba mwaka huu haizai matunda. But keep trying
gentleman,
ikiwa huna pweinti unakaa kimya tu na itapndeza zaidi πŸ’
 
Kuna mingese humu, halafu ni mijitu mizima. Akili haina ikiamka asubuhi kazi kumwaga uharo humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…