Unadhani vyama vya siasa wamejifunza nini kutokana na anguko la CHADEMA?

CHADEMA ni chama pekee kilichokataa wananchi kudhulumiwa kura zao vyama vingine Γ±i watumishi wa CCM.
 
Kuna mingese humu, halafu ni mijitu mizima. Akili haina ikiamka asubuhi kazi kumwaga uharo humu.
kumbe hadi mabinti huropoka kwa mihemko kiasi hiki?
sikuwahi kufikiria kuhusu hili aise dah!

kamanda relax bana, mada nyingine ni ngumu but ndio siasa ilivyo, vumilia tu na hatimae utazoea tu πŸ’
 
Yaani kama Lissu na Heche tu wamewatoa jasho mpaka mmoja mmeamua apumzike sasa hiyo Chadema iliyoanguka sijui ni ipi. Chawa mnatia huruma sana. Sasa hivi mmekusanya wasanii wa mziki wote, wachekeshaji wote, wajinga wajinga kama yule muuza magari anayewatukana ninyi mlioenda shule wote kule dodoma ili mtrend lakini ngoma imekataa. Poleni🀣🀣🀣🀣🀣

Sisi watazamaji tumekaa palee tunaangalia mnyukano. Na mlivyo na ubongo kidogo mtamwachia lisu ili baadae muanze kutaka fadhila kwake kwa kumtaka apunguze spana🀣🀣🀣🀣.
 
CCM ndicho kilichoanguka, na kuegemea kwenye vyombo vya dola pekee.
Mimi ni mwana CCM lakini sipendezwi na vitendo ambavyo serikali ya CCM inafanya kwa raia wake.
Utekaji , mauaji na kubambikiziana makesi sio utanzania aliotuachia hayati J.K.Nyerere.
 
Gentleman,
kwa mfano heche aliefilisika baada ya kuliwa pension yake yote ya ubunge kwenye kubeti na sasa anaishi kwa wazazi anaweza kumtoa mtu jasho kweli? tuwe wakweli.

Lisu ambae hana ajira, anaishi kwa kuomba omba kuchangiwa ili maisha yasonge, surely kuna mtu atatishika nae kweli? Labdo lofa asie mjua.

But hayo sio muhimu sana,
ile ya maana zaidi, ni kipi hasa upinzani nchini wanafaa kujifunza baada ya chadema kuanguka na kupotea kwenye medani ya kisiasa kindezi hivyo?πŸ’
 
Kumbe Chadema imeanguka? πŸ˜… πŸ˜…

Jambo Moja ccm na wakala wake wanatakiwa kujua ni kuwa ni rahisi kuvunja jengo la kanisa/msikiti lkn sio rahisi kuvunja Imani iliyo katika moyo wa mtu.
 
Unajitekenya halafu unacheks mwenyewe...Kilaza
somo lililopo mezani sio la vichekesho japo uko huru kukenua pia.

But muhimu zaidi,
kwa mitazamo wako ni kipi hasa upinzani nchini unafaa kujifunza baada ya chadema kuanguka na kujipoteza yenyewe kwenye medani ya siasa za Tanzania?πŸ’
 
Kumbe Chadema imeanguka? πŸ˜… πŸ˜…

Jambo Moja ccm na wakala wake wanatakiwa kujua ni kuwa ni rahisi kuvunja jengo la kanisa/msikiti lkn sio rahisi kuvunja Imani iliyo katika moyo wa mtu.
huna haja ya kubababika na moyo wa mtu gentleman, tuzungumze mambo bayana ndugu mdau bila kushupaza shingo.

anguko la chadema linavipa vyama vya siasa hasa upinzani fundisho gani kisiasa?πŸ’
 
Na wewe tusaidie umejifunza nini chaguzi zilizopita hasa 2024 serikali za mitaa? Chadema wamesema hawatashiriki uchafuzi.

Wanataka mabadiliko ya tume ya uchaguzi kwanza sio mabadiliko ya uchafuzi.
 
huna haja ya kubababika na moyo wa mtu gentleman, tuzungumze mambo bayana ndugu mdau bila kushupaza shingo.

anguko la chadema linavipa vyama vya siasa hasa upinzani fundisho gani kisiasa?πŸ’
HAKUNA ANGUKO LOLOTE NA HALITATOKEA
 
CCM ndicho kilichoanguka, na kuegemea kwenye vyombo vya dola pekee.
Mimi ni mwana CCM lakini sipendezwi na vitendo ambavyo serikali ya CCM inafanya kwa raia wake.
Utekaji , mauaji na kubambikiziana makesi sio utanzania aliotuachia hayati J.K.Nyerere.
Gentleman,
kutokana na anguko la chadema kisiasa, vyama vya siasa vya upinzani wajifunze nini?

hakuna haja ya kumbwelambwela nje ya hoja mahususi mezani gentleman πŸ’
 
HAKUNA ANGUKO LOLOTE NA HALITATOKEA
relax bas na uwape wadau wa JF wenye maono nafasi ya kueleza kinagaubaga mambo muhimu kwa wapinzani kujifunza baada ya chadema kujipoteza yenyewe kwenye medani ya siasa πŸ’
 
Na wewe tusaidie umejifunza nini chaguzi zilizopita hasa 2024 serikali za mitaa? Chadema wamesema hawatashiriki uchafuzi.

Wanataka mabadiliko ya tume ya uchaguzi kwanza sio mabadiliko ya uchafuzi.
ni muhimu zaidi ukaandika uzi mahususi gentleman kuliko kujaribu kuhamisha mjadala.

na kwakweli itapndeza zaidi πŸ’
 
Day dream hallucinating
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…