Unadhani vyama vya siasa wamejifunza nini kutokana na anguko la CHADEMA?

Kwa kutumia akili mnemba labda ndio imeanguka. Ila kwa akili timilifu CHADEMA iko imara kuliko ile ya mwaka jana.
kwahiyo chadema imetikisika na kufanya wanachama wake kujiengua na kutitia CHAUMA right?🐒
 
Day dream hallucinating
yaani wanachadema wanajiengua chadema hadharini mchana kweupe, michango kwenye kibakuli hakuna tena kwasabb watu hawahudhurii mikutano ya chadema mfu, wewe bado unashupaza shingo hadharini,
gentleman are you really okay?🐒
 
Kuna mtu huko juu nimeona kasema Tofauti ya ubongo wako na mavi ni joto tu
 
CCM mnawanachama milion31 lakini bado hamtaki tume huru ya uchaguzi na mmejaza makada wa CCM kwenye Tume,sasa sijui hao wanacha milion 31 wanamchango gani?
Na kila uchaguzi mmekuwa watu wa kuiba kura
 
CCM mnawanachama milion31 lakini bado hamtaki tume huru ya uchaguzi na mmejaza makada wa CCM kwenye Tume,sasa sijui hao wanacha milion 31 wanamchango gani?
Na kila uchaguzi mmekuwa watu wa kuiba kura
Tume huru ya Taifa ya uchaguzi ni mali ya waTanzania wote sio ya chama chochote cha siasa nchini.

usipotoshe wala kupotoshwa na yeyote kwenye hili 🐒
 
ndio maana nimesema kwenye koment moja wapo kwenye mjadala huu kwamba chadema imeangukua na yamebaki mayowe na makelele tu 🐒
Na mayowe haya ni Kama huu uzi. Hili ni yowe. Tatizo
 
 
Wewe kwa akili zako ndogo ndiyo unaona ni anguko.
 
Mkuu unapoandika huwa unakuwa unakunywa pombe au unakuwa umeshalewa

Umenikumbusha mbunge mmoja yeye akilewa anaongea ujinga sana lakini akiwa mzima ana point nzuri
 
Wameangukia maeneo gani
 
Ili wabaki wanao yaendea mabadiliko ya kweli .....kutifuana na kuhama ni jambo la kawaida kwenye siasa zetu kwakuwa wanatofautiana na mitazamo.
 
Wamejifunza kuwa kila mtu ana bei yake..
 
CHADEMA IPI ILIYO ANGUKA, hii hii munayoogopa kama ukimwi au chauma.
Mbona kule Manyara mmeweweseka mpaka mnainyima viwanja?
Unamkumbuka Ceacescu wa Romania? Kama hukuwepo google.
 
CDM inaanguka🤣🤣🤣🤣
 

Attachments

  • 20250530_090640.jpg
    57 KB · Views: 21
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…