Unadhani vyama vya siasa wamejifunza nini kutokana na anguko la CHADEMA?

Angalia usije ukaanguka wewe. Wapo waliojaribu kukiangusha wameanguka chali kifo Cha mende
 
Acha kudanganya,Chadema Imara,Ccm ndiyo hoi bintaaabaani mbali na usaidizi policcm,mutungi ya majikunywa,fisi wakijani na chawa wa kijani.
 

Kwa chini ukaandika kabsa Mungu ibariki Tanzania! Kwa akili hiyo ww unafkri taifa hili linafaa kutawaliwa na nchi gani kama siyo Uganda 😄😄. Umejaa matope kichwani.
 

Kwa chini ukaandika kabsa Mungu ibariki Tanzania! Kwa akili hiyo ww unafkri taifa hili linafaa kutawaliwa na nchi gani kama siyo Uganda 😄😄. Umejaa matope kichwani
 
Kumbe Chadema imeanguka!! Mbona hukunishtua na mimi nianguke kama wenzangu,maana bado nimesimama wakati wenzangu wameanguka!!!
 
Anguko ? Mmmm, sio mbaya ni mawazo yako nani haki yako kikatiba kutoa maoni
 
Wamejifunz Uharakati usiokuwa na maana hauna tija kwenye jukwaa la siasa
 
CHADEMA imeanguka lini, huoni inavyochanja mbuga huko kaskazini mwa tanzania? kile ni chama imara licha ya mwenyekiti wake kuwekwa ndani na kinapitia misukosuko ya kisiasa na mbilinge nyingi lakini kipo imara hakijaanguka
 
Muulize Mutungi atakupata data kama kimekufa au laaah
 
Inawezekana kweli imekufa ila ukweli ni kwamba huku mtaani CCM haikubaliki kuliko vipindi vyote vya utawala wake.
 
Yaani chama mpaka wakina Mama safari hii wamekikataa hii ni hatari.
 
somo lililopo mezani sio la vichekesho japo uko huru kukenua pia.

But muhimu zaidi,
kwa mitazamo wako ni kipi hasa upinzani nchini unafaa kujifunza baada ya chadema kuanguka na kujipoteza yenyewe kwenye medani ya siasa za Tanzania?🐒
Unaendelea kujitekenya halafu unacheka mwenyewe.
 
Chadema aijaanguka wala aitaanguka kamwe.
No reform no election ⚒️ 💯
 
Wenye akili tuliwatahadhalisha mapema tukawaambia, hakuna mtu anayeingia madarakani kwa ghiliba, chuki na vinyongo halafu akafanikiwa. Chadema itajuta kama tulivyowatabiria kabla. Mbowe kukaa kimya ana sababu.
Muda UTASEMA TUSIPIGE RAMLI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…