Unadhifu na mpangilio wa mavazi kwa mwanamke

Daaah aiseee am a man but you seem to be wife material, hata mimi nimekuwa nikijiuliza sana kwanini mistari ya chupi ionekane!?

Au ndo imekuwa fashion siku hizi?


NB: HAPO KWENYE PEDI KUTUNA SIJAJUA ITABIDI NIANZE KULENGA MACHO YANGU MAKALI LILE ENEO ILI NIONE KAMA IMEKAA UPANDE AU IMETUNA PINDI NIPITAPO BARABARANI

Umeongea point kubwa sana ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
Marahaba mjukuu wangu, kwa upande wangu mtu huwezi kutoka na mimi huku umevaa nguo za ajabu ajabu, huwa nawarudisha wavae vizuri. Mwanamke/mwanadada anayejitambua, lazima atalinda heshima ya mwili wake na si kuuweka mwili wake kuwa kituko.​
Toka nikujue mkuu leo umeongea point
 
Safi kaka naona umemuelewa marry ๐Ÿ”ฅ
 
Binti, nitake radhi. Kwenye huu uzi nilikuwa nashangilia vita kati ya mahasimu wawili. Haya mambo yako ya umbea yametokea wapi tena!
Basi sawaa babuu, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji81][emoji81][emoji81] Taulo limerushwa haraka watu wametoka nduki dadeq..!!

Marry sio wa mchezo mchezo kapiga kwenye mshono..!!
[emoji23][emoji23][emoji23] chezea Marry Dikompozaaa!! Uwiiiiih
 
Da Marry mtoto wa mbwa hatishiwi nyau ohhhh!! [emoji81][emoji81][emoji81]

Bana warudi hii mechi bado haijaisha au wewe mshika kibendera unasemaje? [emoji81][emoji81]
Match irudiweeeeeeeeeeeee!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Malaya wa mafungu wamepigwa spana hadi wamekimbia..!!

Ila we nae mahi unapenda vayolensi ๐Ÿ˜น
Huyu mery kanikosha balaa, yule Malaya mseto kakomeshwa , aliingilia mlango wa kutokea akakutana na kipande
 
Huyu mery kanikosha balaa, yule Malaya mseto kakomeshwa , aliingilia mlango wa kutokea akakutana na kipande
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Eti malaya nini?
Bushmamy umenichekesha alooo!!

Huyo ndo Merry Dikompoza bhana!!
Unapokelewa km ulivyokuja..
Anachamba mpk anachamba tena..! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ