Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Judgmental and clueless ๐Shikamoon wakubwa zangu
Wadogo zangu,hamjambo.
Leo niongee kitu cha tofauti kidogo,hususani kwetu Sisi wanawake, mm mwenyewe si msichana tena,hata mamangu mara nyingi ananihusia hili kuhusu mwenendo wangu na mpangilio wa mavazi.
Hebu Kwanza niulize,
Hivi wanawake wenzangu mnaovaa taiti za kubana,bila hata mtandio,mbaya zaidi mistari wa chupi unaonekana na mtu huna habari wala nini, mbaya zaidi mtu kavaa pedi,na inaonesha kabisa imevimba au imekaa upande,mmmh aibu naona mm!
Hivi mnajisikiaje,
Na hili Tatizo lipo Sana kwetu Sisi wakristo kutojipenda waziwazi,na kuwa na uzungu mwingi.
Binafsi nadhani kuzaliwa na kukulia,au kuchangamana na jamii,ya pwani kumeniathiri na kupenda mavazi na taratibu za kiislamu,yaani kiukweli siwezi kwenda kilomita 3 kutoka nyumbani bila mtandio,siwezi vaa suruali ya kubana,au gauni linalobana,niwapo nyumbani ni vijora ,madela na magauni siwezi vaa suruali wala kaptura,sijui wenzangu mnawezaje.
Hivi hizoo taiti zenu zikichanika bahati mbaya aidha umegusa kitu chenye ncha Kali inakuwaje.
Wengi hamtembei na khanga wala mtandio kwamba utajistiri.
Mmmmh siwezi bora nionekane mshamba
Karibuni tule lunch ya ofisini kwetu๐นo
Usinisumbue mi niko live hapa kuangalia mpambano..!! ๐น๐น๐นMambo baby girl
Huu ungo bhana Dada maua ๐Takataka mwenyewe,Una uspecial gani mbwa mwitu wewe,kujiuza mtandaoni unajiona wa maana wewe panga foleni dada huniwezi Mimi Mimi Nina kazi nakulisha na kukunywesha mwaka mzimq
Mi nakaa upande wenye michambo mikali aiseee..!! JF haitakiwi kupoa ๐น๐น๐นSijui nikae upande gani, mana mm napenda vayolensi sasa nikikaa upande fulani inawezekana upande mwngn ukakosa nguvu, anyway wanangu endelezeni vayolensi, I love danger ๐
Nakusumbua Au Sio ๐Usinisumbue mi niko live hapa kuangalia mpambano..!! ๐น๐น๐น
Upande upi una michambo zaid?Mi nakaa upande wenye michambo mikali aiseee..!! JF haitakiwi kupoa ๐น๐น๐น
Kaa Kwa Huyo aliyekeketwa halafu utajua ni msalaba au jumlishaSijui nikae upande gani, mana mm napenda vayolensi sasa nikikaa upande fulani inawezekana upande mwngn ukakosa nguvu, anyway wanangu endelezeni vayolensi, I love danger ๐
Mimi siyo Maua Naitwa Marry DianaHuu ungo bhana Dada maua ๐
Ngoja na mm nikatume ukuni wangu, nione kama nitapata order ๐Hapana njoo kwanza kwenye ule uzi wa kicwa cha ukuni
Huyo hajakeketwa, n girl wangu hvy namjuaKaa Kwa Huyo aliyekeketwa halafu utajua ni msalaba au jumlisha
Marry anapiga personal sana alooo!! ๐น๐นUpande upi una michambo zaid?
Sawa baby girl Diana ๐Mimi siyo Maua Naitwa Marry Diana
๐น๐น๐น๐น Alooo!!Kaa Kwa Huyo aliyekeketwa halafu utajua ni msalaba au jumlisha
Ah bc ngoja na mm nikae kwa Seran, mbona hata yeye anapiga pasi kama za chama mpaka golini ๐ฅMarry anapiga personal sana alooo!! ๐น๐น
Nimemuogopa Marry kuanzia leo simchokozi hata kidogo..!! Anaroast km grok ๐น๐น
Hili pindi haina kucarry wala kusup natoka na GPA kali ๐น๐น๐นNakusumbua Au Sio ๐
Ah siku moja moja kukimbia ibada ili kuweka heshima kwa jamii sio mbaya, Njoo uendeleze vita mm niko upande wakoHebu niache mbaga niko kwenye ibada๐คฃ
Na mm ndo lecturer wako nakupa GPA ya 0.8 kama frequency za radio ๐Hili pindi haina kucarry wala kusup natoka na GPA kali ๐น๐น๐น
Ila watu wana maneno wanajua kuchambana! Mimi kila nikijaribu kuunganisha sentensi iwe kichambo siwezi na hapo nimezaliwa Amana nimekulia Ilala ningelelewa bush ingekuajeVayolensi ndo mambo napenda ๐
Huna hulka hiyo ndio maana huwezi licha ya kua umezaliwa mjiniIla watu wana maneno wanajua kuchambana! Mimi kila nikijaribu kuunganisha sentensi iwe kichambo siwezi na hapo nimezaliwa Amana nimekulia Ilala ningelelewa bush ingekuaje
Ukija kutupia huo ukuni ni tag kijanaNgoja na mm nikatume ukuni wangu, nione kama nitapata order ๐