Unaelewa nini juu ya Israel? Anza na hizi dondoo za aina yake

........why this, can't them get back to Sudan? Naona kama tunazihakiwa hapo...... But sishangai maana hata Yesu walimkataa same same
 
Hivi kwanini wakristo baadhi mnatuaibisha kiasi hiki? Kama Mungu kupitia biblia amelichagua taifa hili liwe teule kwa kuua wapalestina huko mashariki ya kati naomba niwe wa kwanza kutoiamini biblia. Ninachojua ni kuwa biblia ni kitabu kitakatifu ila kwa upuuzi wa wakristo wachache kama ninyi mnatafsiri ovyo bila kutumia akili.
 
kwaiyo sisi mataifa mengine ni ya shetani..?[/QUOTE]
Katika Ulimwengu Wa Leo,Kesho na hata Milele Taifa la kwanza ambalo lisipendwe #Asraeli,I'm sure kabisa nakuambia.Kwaio #Asraeli ni Taipha la @Mungu?Asraeli ni nchi ya kwanza kusapoti ushoga duniani nani watetezi wakuu Wa ushoga popote pale duniani.Haya niambie wapi **MUNGU%% karuhusu ushog...

a??
 
kwaiyo sisi mataifa mengine ni ya shetani..?

a??[/QUOTE]

Duh! we jamaa bana...teh teh teh
 
Carbon dioxide... Sifa za hewa ukaa hiyo siwezi kukuuliza swali la ziada maana najua matokeo yake. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
k
kama utakataa kuiamini biblia niwewe na MUNGU wako ndugu yangu,...kwani israel ndo wanawauwa palestina au wanapigana vita,..kwan waisrael hawauawi na wapalestina???????c wanauliwa vilevile vita ni kujitetea sasa kama israel wako vizuri kivita kuwashinda palestina we ndo usiamini bible,...may be unayako ndugu,....,..Alaf YESU alikuja kutoa tofauti ya kwamba hakuna zaidi ya mwenzake,...chamsingi wewe umwamini Yesu uokoke,...uishi maisha mema unakuwa mwana wa Mungu,....ila tulichokuwa tunazungumzia mwnzo ni historia na uteule wa Mungu juu ya taifa la israel...,,
 
Carbon dioxide... Sifa za hewa ukaa hiyo siwezi kukuuliza swali la ziada maana najua matokeo yake. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][/QUOTE]
watu mnashindwa kuelewa,...kuwa taifa la Mungu sawa kwa historia kutokea yakobo,...na ahadi za Mungu,...ila kwayeyote ambaye hatatenda mapenzi ya Mungu na kufata njia na mambo ya dunia hiii,...atahukumiwaa2.,,..iko hivyo,..sio kuwa muisraeli bas wewe ni mbinguni moja kwa moja,..haipo hivyo,..israel kuna watu wanaabudu sanamu,...watahukumiwa,..MUNGU anataka tutende matendo mema na tuache dhambi,...christian israel ni 2% tu,...wengine wanaabudu sanamu,baali,jua,na uchafu mwingi unafanyika,..wasiotenda matendo ya MUNGU Watahukumiwaaa2,...nop matter what,..
 
Carbon dioxide... Sifa za hewa ukaa hiyo siwezi kukuuliza swali la ziada maana najua matokeo yake. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
watu mnashindwa kuelewa,...kuwa taifa la Mungu sawa kwa historia kutokea yakobo,...na ahadi za Mungu,...ila kwayeyote ambaye hatatenda mapenzi ya Mungu na kufata njia na mambo ya dunia hiii,...atahukumiwaa2.,,..iko hivyo,..sio kuwa muisraeli bas wewe ni mbinguni moja kwa moja,..haipo hivyo,..israel kuna watu wanaabudu sanamu,...watahukumiwa,..MUNGU anataka tutende matendo mema na tuache dhambi,...christian israel ni 2% tu,...wengine wanaabudu sanamu,baali,jua,na uchafu mwingi unafanyika,..wasiotenda matendo ya MUNGU Watahukumiwaaa2,...nop matter what,..[/QUOTE]
ndo sisi leo hii tunakwambia YESU anaokoa,..uache dhambi moto wa ghukumu utahukumiwa,..hata israel iko hivyo,..watu wanahubiri sana ila watu hawataki kuokoka,..kama wewe ndugu yangu,..
 
Sasa ndugu ubaguzi ni tabia ya mtu, kwani wale ccm zanzibar walivyowabagua wale machotara ndo zanzibar wote ni wabaguzi??? Hebu kuleta sababu nyepesi nyepesi
 
Sasa ndugu ubaguzi ni tabia ya mtu, kwani wale ccm zanzibar walivyowabagua wale machotara ndo zanzibar wote ni wabaguzi??? Hebu kuleta sababu nyepesi nyepesi

Tatizo ni kwamba umevamia topic hujui kwa nini na kivipi nilisema waisraeli ni wabaguzi...Rudi nyuma usome vizur
 
Wewe ni mpumbavu. Kukupuuza ndo adhabu inayokufaa.
 
Ipo movie ya sobibor na great escape inatoa taswra ya hayo uliyosema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…