Unaelewa nini juu ya Israel? Anza na hizi dondoo za aina yake

Katika bible ukifuatilia utaona kuwa kitabu kiliandikwa kutoka mapokeo mawili,wale wa yuda waliokuwa wanamwamini yhweh ama jehova kwa kiswahili na wale wa ufalme wa israel waliokuwa wakimwamini EL,
walichofanya ni kuchanganya haya maandiko toka mapokeo mawili tofauti na hii ndo ikapelekea pawepo nacontradiction kuanzia kitabu cha mwanzo mpaka cha mwisho ambazo hazina maelezo saahihi kama mtu hujui kuwa vitabu vilichanganywa,Mungu El akajikutaanawekwa kando na badala yake JEHOVA ndo akawa ndo Mungu wa wana wa israel,
ndo maana kuna mkanganyiko sana kwasababu jehova yumo akitoa amri zake za kuwafavour wayahudi na pia El nae yupo akitoa maelezo yake ya watu wote KUMWABUDU YEYE ALIYE JUU.ili mwisho wa siku atawapeleka huko juu MBINGUNI
 
Mungu hajaandika biblia hata kidogo,ni wehu kadhaa israel waliamka asubuhi wakasema eti "waliota" ndoto mungu kawafunulia ....yaani wanaona wakisema kweli tumeandika kwa utashi wetu hamtawaamini kirahisi,yaani hawa wehu hua nachoka nao kabisa"

mkristo jina.....................ila ukumbuke Mungu atawatenga mbuzi na kondoo siku ya mwisho. Mbuzi mkono wa kushoto na kondoo mkono wa kuume wa Mungu Baba, Mungu akusaidie maana ni kama ufahamu wako umepigwa ganzi usipate kuelewa ni nini yaliyo mapenzi ya Mungu. Na ujue wokovu watoka kwa Waisraeli kwanza ndiyo ukakufikia na wewe unayejiita mkristo usiyeonesha dalili ya uhai wa ukristo wako...........................usidhani Mungu ni msela kama unavyotaka kutuonesha hapa kwa kukiri ukristo na kutukana waliootumiwa na Mungu kuandika Biblia.

Mwisho kabisa, "..........WAABUDUO HALISI, WATAMWABUDU BABA KATIKA ROHO NA KWELI" Anasema Yesu Yohana 4:23.
Tubu na ukaokolewe
 
Wengi humu na historia inaonyesha waisreal wengi ni atheists ebu tujikumbushe vita ya dini iliyotokea ulaya na mashariki ya mbali wakati wa ukuaji wa uislamu
Na pia wakati wa utengano ndani ya kanisa katoliki uliosababisha ukatoliki wa ulaya Roman chinos ya papa na wa mashariki chini ya kiongoz wao akiitwa nadhan patriach
Ambapo mashariki wanatumia makanisa mengine lkn afrika hakuna but asia n meng na ndio maana kiongoz wa kanisa la mashariki hushiriki misa na papa ambao ni wayaud
Tujiulize je ni kwa nn nentanyau anaungwa mkono na kanisa katoliki?
Wayaud ni dini na dini hiyo n ukatoriki wa mashariki
 
Emenena... wenye macho wasome na wenye masikio wasikie
 
Crap...

This dude spits crap..

Don't buy crap people
 
Jamani ila kwa nini sijawai kuona vikundi vya kigsidi maatufu vikiishambulia israel direct??
 
Toka lini Mwarabu kampenda M-yahudi!! Hivyo wote wanaowapinga na kuzusha chuki dhidi ya Wayahudi ni walewale waliokunywa uji wa Mgonjwa
 
Tehehe hii kwangu ni shule na home work.!! Sijawahi kujiuliza wala kudadisi hayo "uliyofunguka"
 

Mkuu LebronWade unaitumia respect yako vibaya kwa watu wa aina hii ya evansGREATDeal .....wa kupuuza tu
 

Nimeishi ISRAEL MIAKA 6, Baadhi ya mambo uliyoandika hapo umetia chumvi. Hasa namba 9. Nikipata muda nitakuja tena kufafanua. Nimeishi nao, nazungumza kiyahudi kwa ufasaha kabisa na nimeishi Jerusalem (Magharibi), Acre (Mji wa Kihistoria), Negev (Nimeishi kule nikiwa jirani na waisraeli wa kiarabu wanaitwa BEDUINS) na Tel Aviv (Niliishi miaka 2).
 
Kitu gani kilipelekea mpk kujengwa kwa mnara wa Babeli?

Na huo mnara wa Babeli ulijengwa baada ya gharika ya Nuhu au kabla?
 

Mkuu,
Nashauri jaribu kufanya chunguzi kabla hujapost kitu.
Ipo tofauti KUBWA kati ya a JEW na an Isralite. Nakuona unayatumia kama vile ni kitu kimoja. Mfano ni kuwa Albert Enstein alikuwa a JEW. Hakuwahi kuwa Isralite. Nabii Musa alikuwa an Isralite hakuwa a JEW. Netanyahu ni Jew sio Isralite. Ili kukusaidia ni kuwa Shk Hemed bin Jumaa bin Hemed alikuwa Mwislamu lakini hakuwa Mkuraishi. Kuna a specific group of people/NATION waliojulikana kama ISRALITES. Wewe hapo unaweza kuwa a JEW lakini sio MuIsralite.

Fuatilia kwanini Marehemu rais Nasser wa Misri aliwaambia walowezi wa Israel kuwa "mliondoka weusi, mmerudi WEUPE/You left black and returned White" (Google, Bing etc)
 
magroup ya kigaidi yalishawahi kuulizwa "Mbona isarel ipo karibu tu hapo lakini hamuishambulii?"

teh teh wakajibu "BADO HATUJAJIANDAA KUISHAMBULIA ISRAEL"

Chezea kifo ww,,hawa jamaa ukipigana nao,either ufe ww au wafe ww...hawakuachii hivihvi mapaka uombe POO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…