GE2025 Unaenda vipi kwenye Uchaguzi nchi ikiwa katika alert kubwa namna hii?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
11,613
Reaction score
13,543
Wakuu jf amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake ,poleni na Tanzania pia.

Kwa mara ya kwanza nchi ya tz inaweza kwenda kwenye uchaguzi mkuu katika alert kubwa , why , na nini kipo Ikulu kisa madaraka tu ambayo huwezi zikwa nayo, baki nayo milele.

Leo wenda vijana wetu katika vyombo vya usalama wa nchi wapo katika wakati Mgumu kuliko kipindi chochote kile , achana na hao wakubwa zao watoaho Maagizo wakiwa kwenye viyoyozi, hii ni hatari sana.

Wananchi wanasema 29 Oct wanakiwasha ila bado kama viongozi mmeziba masikio ila kikiwaka kweli si ndo nyie wa kwanza kukimbia na kuwaacha vijana wetu mnaowategemea wawalinde kwa sasa katika mzozo mkali na jamii zinazo wazunguka au nao mtawapa passport , why fika hapa?

Napendekeza kwa mda huu nyie viongozi acha uchu wa madaraka na badala yake angalia nchi / taifa kwanza mengine badae .

Kauli za watu kama Nape haziwezi saidia taifa kwa sasa tulipo, mfano hao sisimizi ukisha wauwa unafikiri utabaki salama, na je wa kuonja joto la jiwe kwa wakati huo ni Nape au mwenyekiti wake sasa na watu walio chini yake.

Nape amekua kiongonzi ila bado yupo na ushamba wa uongozi na bado hajui Dunia .

Mwisho
Bado Mungu wangu ananiambia mwaka huu hakuna uchaguzi ,jitafakarin na chukua hatua

Thanks
 
Yale mashetani ya kijani yanachoangalia ni kubakia madarakani hata ikibidi kwa kuua watu......
Yale mashetani yameshaingiwa na roho za mtoa roho!!
Mtiririko wa matukio ya watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha na kukutwa wakiwa hawana uhai ni ishara za wazi kuwa tunatawaliwa na mashetani yanayoonekana kama binadamu
 
Mkuu umeongea kwa uchungu sana ,inaumiza sana , yana mtu kisa ubunge anasimama kwamba wataua sisimizi , so hata anaowategemea wampigie kura ni sisimizi?

Nape ataenda kufa kifo kibaya asema Bwana,

Asione manguli waliomtangulia katika serikari waliokufa kwamba hawakua na nyama au hawakua binadamu , Nape amefikia kiwango cha Mkapa, Mwinyi , Makufuli , na viongozi wengine kama sio tembelea nyota ya baba yake akisaidiwa na mzee Makamba , ipo siku , asema bwana
 
Acheni kutisha watu, hakuna k yoyote ya kuleta nyokonyoko..
Taifa hli ni kubwa kuliko waliousisia uchaguzi kwa sababu ya kukosa mikakati ya kisiasa!
Hujui Dunia haijalishi upo kitengo kipi au wapi , Dunia sio baba yako au mama yako , usijipe umuhimu sana hapo ulipo kuliko Dunia ,hu mtu mdogo sana sana kuliko Dunia
 
Acheni kutisha watu, hakuna k yoyote ya kuleta nyokonyoko..
Taifa hli ni kubwa kuliko waliousisia uchaguzi kwa sababu ya kukosa mikakati ya kisiasa!

..Oct 29 usipokuwa muangalifu unaweza kupigwa risasi kama Aquilina.

..siku hiyo ni muhimu kila Mtanzania awe karibu na nyumbani kwake, na wasifike wala kuvikaribia vituo vya kura.
 
Kuna kitu naomba kukueleza.

Binadamu yoyote yule alietoka kwa tumbo la Mama yake kuja Dunia kifo chake tangu analetwa Duniani kilisha andikwa, zingine hua ni sababu kutokea tu ili jambo lile litimie tu .

Hii anaweza kupinga aje , that's unawenza mfikisha mgonjwa hospital utashangaa ndo siku watumishi wanakimbizana na mgonjwa ila mistake 1 moja tu kwisha na wataanza ndugu laumu.

Hakuna binadamu yoyote Duniani ambaye amezaliwa Mungu ajaanda namna ya kifo chake , hakuna nakufunulia hili.

Kwa nini gari flani inaweza pata ajari nyanganyanga ila akabaki mmoja au wawili au asiwepo mtu.

Jeshini watu wanaenda mission flani 100 wanaweza rudi wote au wakarudi mmoja why na wengine walikua sehemu moja.

Siri ya kifo ipo tu tangia unazaliwa kama uliandikiwa utakufa kwa risasi itatokea tu kwa mazingira tofauti, kama ni maradhi tu itakua pia .

So lazima kifo chochote kiwe na sababu ili agano la Mungu kwako litimie kwako alilo lipanga juu yako tangu unazaliwa ,hakuna cha kuogopa hapa
 
..yote uliyosema ni kweli, lakini tunapaswa kuchukua tahadhari.

..Na tahadhari tunayopaswa kuchukua Oct 29 ni kutokwenda kupiga kura.
 
Acheni kutisha watu, hakuna k yoyote ya kuleta nyokonyoko..
Taifa hli ni kubwa kuliko waliousisia uchaguzi kwa sababu ya kukosa mikakati ya kisiasa!
Wenye mamlaka ya mwisho ni wananchi sio police wala JW siku wananchi wakiamua watawapumzisha hao watawala nafikiri umeona ya mwendo kasi siku wananchi wakijua wao ndo wenye mamlaka ya mwisho kwenye kila kitu basi ujinga wa kutisha watu utaishia na viongozi watawatumikia kweli wananchi
 
..Oct 29 usipokuwa muangalifu unaweza kupigwa risasi kama Aquilina.

..siku hiyo ni muhimu kila Mtanzania awe karibu na nyumbani kwake, na wasifike wala kuvikaribia vituo vya kura.
Tutapga kura na hakuna cha aquilina..hoja ya kitakataka sana
 
Watao haribu na kusababisha chaos ni askari polisi na vyombo vya usalama
 
..kura yako haiongezi chochote, haina athari, na wala haihitajiki, sasa ya nini kusumbuka? Si bora ufanye shughuli zako?
Nipe sababu za msingi kuonyesha kwamba kura yangu haina athari?
Mm nitapga
Siwez kusikiliza takataka
 
Tutapga kura na hakuna cha aquilina..hoja ya kitakataka sana
Unabahati umefichiwa utambulisho wako , wewe ulikuwa unafaa kugongwa VX tu chap , unajiona nani kwenye Taifa hili? eeh!
 
Acheni kutisha watu, hakuna k yoyote ya kuleta nyokonyoko..
Taifa hli ni kubwa kuliko waliousisia uchaguzi kwa sababu ya kukosa mikakati ya kisiasa!
 
Attachments

  • IMG_20230809_145515.jpg
    IMG_20230809_145515.jpg
    41.5 KB · Views: 28
Back
Top Bottom