4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Nepal kulikuwa na wajinga kama wewe Ila mwisho wa siku viongozi wamekimbia nchiAcheni kutisha watu, hakuna k yoyote ya kuleta nyokonyoko..
Taifa hli ni kubwa kuliko waliousisia uchaguzi kwa sababu ya kukosa mikakati ya kisiasa!
Mkuu umeongea kwa uchungu sana ,inaumiza sana , yana mtu kisa ubunge anasimama kwamba wataua sisimizi , so hata anaowategemea wampigie kura ni sisimizi?Yale mashetani ya kijani yanachoangalia ni kubakia madarakani hata ikibidi kwa kuua watu......
Yale mashetani yameshaingiwa na roho za mtoa roho!!
Mtiririko wa matukio ya watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha na kukutwa wakiwa hawana uhai ni ishara za wazi kuwa tunatawaliwa na mashetani yanayoonekana kama binadamu
Hujui Dunia haijalishi upo kitengo kipi au wapi , Dunia sio baba yako au mama yako , usijipe umuhimu sana hapo ulipo kuliko Dunia ,hu mtu mdogo sana sana kuliko DuniaAcheni kutisha watu, hakuna k yoyote ya kuleta nyokonyoko..
Taifa hli ni kubwa kuliko waliousisia uchaguzi kwa sababu ya kukosa mikakati ya kisiasa!
Acheni kutisha watu, hakuna k yoyote ya kuleta nyokonyoko..
Taifa hli ni kubwa kuliko waliousisia uchaguzi kwa sababu ya kukosa mikakati ya kisiasa!
Kuna kitu naomba kukueleza...Oct 29 usipokuwa muangalifu unaweza kupigwa risasi kama Aquilina.
..siku hiyo ni muhimu kila Mtanzania awe karibu na nyumbani kwake, na wasifike wala kuvikaribia vituo vya kura.
Kuna kitu naomba kukueleza.
Binadamu yoyote yule alietoka kwa tumbo la Mama yake kuja Dunia kifo chake tangu analetwa Duniani kilisha andikwa, zingine hua ni sababu kutokea tu ili jambo lile litimie tu .
Hii anaweza kupinga aje , that's unawenza mfikisha mgonjwa hospital utashangaa ndo siku watumishi wanakimbizana na mgonjwa ila mistake 1 moja tu kwisha na wataanza ndugu laumu.
Hakuna binadamu yoyote Duniani ambaye amezaliwa Mungu ajaanda namna ya kifo chake , hakuna nakufunulia hili.
Kwa nini gari flani inaweza pata ajari nyanganyanga ila akabaki mmoja au wawili au asiwepo mtu.
Jeshini watu wanaenda mission flani 100 wanaweza rudi wote au wakarudi mmoja why na wengine walikua sehemu moja.
Siri ya kifo ipo tu tangia unazaliwa kama uliandikiwa utakufa kwa risasi itatokea tu kwa mazingira tofauti, kama ni maradhi tu itakua pia .
So lazima kifo chochote kiwe na sababu ili agano la Mungu kwako litimie kwako alilo lipanga juu yako tangu unazaliwa ,hakuna cha kuogopa hapa
Wenye mamlaka ya mwisho ni wananchi sio police wala JW siku wananchi wakiamua watawapumzisha hao watawala nafikiri umeona ya mwendo kasi siku wananchi wakijua wao ndo wenye mamlaka ya mwisho kwenye kila kitu basi ujinga wa kutisha watu utaishia na viongozi watawatumikia kweli wananchiAcheni kutisha watu, hakuna k yoyote ya kuleta nyokonyoko..
Taifa hli ni kubwa kuliko waliousisia uchaguzi kwa sababu ya kukosa mikakati ya kisiasa!
Au sioAcheni kutisha watu, hakuna k yoyote ya kuleta nyokonyoko..
Taifa hli ni kubwa kuliko waliousisia uchaguzi kwa sababu ya kukosa mikakati ya kisiasa!
Tutapga kura na hakuna cha aquilina..hoja ya kitakataka sana..Oct 29 usipokuwa muangalifu unaweza kupigwa risasi kama Aquilina.
..siku hiyo ni muhimu kila Mtanzania awe karibu na nyumbani kwake, na wasifike wala kuvikaribia vituo vya kura.
Tutapga kura na hakuna cha aquilina..hoja ya kitakataka sana
Nipe sababu za msingi kuonyesha kwamba kura yangu haina athari?..kura yako haiongezi chochote, haina athari, na wala haihitajiki, sasa ya nini kusumbuka? Si bora ufanye shughuli zako?
Unabahati umefichiwa utambulisho wako , wewe ulikuwa unafaa kugongwa VX tu chap , unajiona nani kwenye Taifa hili? eeh!Tutapga kura na hakuna cha aquilina..hoja ya kitakataka sana
Nipe sababu za msingi kuonyesha kwamba kura yangu haina athari?
Mm nitapga
Siwez kusikiliza takataka
Acheni kutisha watu, hakuna k yoyote ya kuleta nyokonyoko..
Taifa hli ni kubwa kuliko waliousisia uchaguzi kwa sababu ya kukosa mikakati ya kisiasa!