KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
Huo ndo utambulisho wangu, ..Unabahati umefichiwa utambulisho wako , wewe ulikuwa unafaa kugongwa VX tu chap , unajiona nani kwenye Taifa hili? eeh!
Tafuta sehemu ya kukimbilia hiyo tarehe 29Acheni kutisha watu, hakuna k yoyote ya kuleta nyokonyoko..
Taifa hli ni kubwa kuliko waliousisia uchaguzi kwa sababu ya kukosa mikakati ya kisiasa!
Hapa namkimbia nani?Tafuta sehemu ya kukimbilia hiyo tarehe 29
Khaaaa...siku hiyo ni muhimu kila Mtanzania awe karibu na nyumbani kwake,
Wakuu jf amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake ,poleni na Tanzania pia.
Kwa mara ya kwanza nchi ya tz inaweza kwenda kwenye uchaguzi mkuu katika alert kubwa , why , na nini kipo Ikulu kisa madaraka tu ambayo huwezi zikwa nayo, baki nayo milele.
Leo wenda vijana wetu katika vyombo vya usalama wa nchi wapo katika wakati Mgumu kuliko kipindi chochote kile , achana na hao wakubwa zao watoaho Maagizo wakiwa kwenye viyoyozi, hii ni hatari sana.
Wananchi wanasema 29 Oct wanakiwasha ila bado kama viongozi mmeziba masikio ila kikiwaka kweli si ndo nyie wa kwanza kukimbia na kuwaacha vijana wetu mnaowategemea wawalinde kwa sasa katika mzozo mkali na jamii zinazo wazunguka au nao mtawapa passport , why fika hapa?
Napendekeza kwa mda huu nyie viongozi acha uchu wa madaraka na badala yake angalia nchi / taifa kwanza mengine badae .
Kauli za watu kama Nape haziwezi saidia taifa kwa sasa tulipo, mfano hao sisimizi ukisha wauwa unafikiri utabaki salama, na je wa kuonja joto la jiwe kwa wakati huo ni Nape au mwenyekiti wake sasa na watu walio chini yake.
Nape amekua kiongonzi ila bado yupo na ushamba wa uongozi na bado hajui Dunia .
Mwisho
Bado Mungu wangu ananiambia mwaka huu hakuna uchaguzi ,jitafakarin na chukua hatua
Thanks
Akwilina hakuwa kwenye maandamano alikuwa ndani ya basi lakini risasi ikaacha watu waliokuwa nje mabarabarani ikampata yeye aliyekuwa ndani ya basi hapo vipi? Kifo hakikwepeki...yote uliyosema ni kweli, lakini tunapaswa kuchukua tahadhari.
..Na tahadhari tunayopaswa kuchukua Oct 29 ni kutokwenda kupiga kura.
Hii lini tena
Nape ni Mwana siasa na sio kiongozi ndio maana kauki zake ni za "kitoto" au za MTU kama "hamnazo"Wakuu jf amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake ,poleni na Tanzania pia.
Kwa mara ya kwanza nchi ya tz inaweza kwenda kwenye uchaguzi mkuu katika alert kubwa , why , na nini kipo Ikulu kisa madaraka tu ambayo huwezi zikwa nayo, baki nayo milele.
Leo wenda vijana wetu katika vyombo vya usalama wa nchi wapo katika wakati Mgumu kuliko kipindi chochote kile , achana na hao wakubwa zao watoaho Maagizo wakiwa kwenye viyoyozi, hii ni hatari sana.
Wananchi wanasema 29 Oct wanakiwasha ila bado kama viongozi mmeziba masikio ila kikiwaka kweli si ndo nyie wa kwanza kukimbia na kuwaacha vijana wetu mnaowategemea wawalinde kwa sasa katika mzozo mkali na jamii zinazo wazunguka au nao mtawapa passport , why fika hapa?
Napendekeza kwa mda huu nyie viongozi acha uchu wa madaraka na badala yake angalia nchi / taifa kwanza mengine badae .
Kauli za watu kama Nape haziwezi saidia taifa kwa sasa tulipo, mfano hao sisimizi ukisha wauwa unafikiri utabaki salama, na je wa kuonja joto la jiwe kwa wakati huo ni Nape au mwenyekiti wake sasa na watu walio chini yake.
Nape amekua kiongonzi ila bado yupo na ushamba wa uongozi na bado hajui Dunia .
Mwisho
Bado Mungu wangu ananiambia mwaka huu hakuna uchaguzi ,jitafakarin na chukua hatua
Thanks
Kama ule ndiyo uanasiasa , basi uanasiasa na ushoga hauna tofauti kubwa aisee .Nape ni Mwana siasa na sio kiongozi ndio maana kauki zake ni za "kitoto" au za MTU kama "hamnazo"
Roho ya jezebel bado inaishi…Yale mashetani ya kijani yanachoangalia ni kubakia madarakani hata ikibidi kwa kuua watu......
Yale mashetani yameshaingiwa na roho za mtoa roho!!
Mtiririko wa matukio ya watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha na kukutwa wakiwa hawana uhai ni ishara za wazi kuwa tunatawaliwa na mashetani yanayoonekana kama binadamu
Acha ushamba Tanzania haiwezi kua kubwa kuzishinda Misri,Libya, Tunisia,n.kAcheni kutisha watu, hakuna k yoyote ya kuleta nyokonyoko..
Taifa hli ni kubwa kuliko waliousisia uchaguzi kwa sababu ya kukosa mikakati ya kisiasa!
Aisee!Acheni kutisha watu, hakuna k yoyote ya kuleta nyokonyoko..
Taifa hli ni kubwa kuliko waliousisia uchaguzi kwa sababu ya kukosa mikakati ya kisiasa!
Wakati uliokubalika ni sasa, wakitoka kwenda kutiki tunatoka nao mpaka kieleweke. Kiufupi mwaka huu hakuna uchaguzi kuna uhuni tu.Wakuu jf amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake ,poleni na Tanzania pia.