mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,682
- 10,801
Mi hadi kwenye ndege nilikataaga haya mambo yao ya visu na uma nikagonga kwa mkono tu. Tatizo sasa hawana maji ya kunawa, ni vitishu fulani tu wet (wipes), ilibidi tu nijiongeze nikaenda kunawa chooni, teh!mambo ya wazungu tuwaachie wenyewe. mimi kulia hata kijiko tu huwa naona mateso sana.