Unafanyaje kukusanya kodi nyumba iliyo mbali? Nishachoka

Ahaaa
 
Niliwahi kuwa na mama mwenye nyumba anayeishi mbali na hakumbushii kodi🙆‍♂️🙆‍♂️ inabidi ujiongeze mwenyewe ulipie.

Yaani nikijisahau nae anasahau. Siku namlipa hata hajui ni ya muda gani🤣
Hauwezi kujisahau tarehe ya kulipa kodi ikifika. Sema tu hela ya kodi inauma
 
 
Mmoja juzi mdada nimemuambia Kodi ijayo nataka ya miezi sita, kaninunia! Wapangaji ni mtihani sana!
Wapangaji ni pasua kichwa jamani, na hasa upate ambae sio muelewa na wengine wanaharibu nyumba tena makusudi tu
 
Wakuu, akili imezima
Wapangaji hawalipi na niko mbali
Tafuta mpangaji mmoja anayejitambua (Mwalimu), Mpunguzie Kodi halafu mtambulishe kuwa yeye ndiye atakusanya kodi...
Kama kodi ni ndogo wanayolipa unaweza kumtaka alipe nusu; ila kama ni kubwa pengine alipe 75% ya kodi ila anakuwa msimamizi wa nyumba...
na kukupa taarifa. Mpangaji yeyote akiwa na changamoto anareport kwake... nk nk
 
Kama nyumba ipo mkoa wa Katavi. Nipe hiyo kazi ya kusimamia, nitakuwa nakutumia pesa yako kwa uaminifu mkubwa.
 
Baadhi ya sehemu funguo wanaweka kwenye bahasha, jioni ukikuta bahasha imechanwa unajua tuu Hapa mteja kaingia, bahasha unagonga na muhuri
 
,, hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…