Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Habari za Jumapili.
Kwa uelewa wangu huu ninaamini kabisa Wazungu, mabeberu kamwe hawataruhusu nchi walizozitawala ikiwemo Tanzania ifanye Jambo ambalo litaiinua nchi, kuiendeleza, ikiwezekana kuwapita wap.
Mtibeli naamini, Ukiona Mzungu hakuzuii kufanya Jambo Fulani linalokufanya uendelee ujue yeye ni mnufaika mkubwa na Jambo Hilo Kwa asilomia zaidi ya 75 kisha wewe 25.
Huwezi endelea na kumzidi Mzungu kwa kutumia kitu au Jambo ambalo alilianzisha yeye na hakukatazi kulifanya.
Naamini, ukiona unafanikiwa kwenye Jambo Fulani mzungu akakuacha uendelee kufanikiwa ujue huo ni mtego, huo ni mradi, huo ni mfumo ambao mwisho wa Siku utakupeleka shimoni.
Kwa muktadha huo, unafikiri ni kwa nini mabeberu, Wazungu, hawawazuii waafrika ikiwemo sisi Watanzania kuendelea kielimu waliyotupa, Kwa kujenga shule za msingi, secondary, vyuo vya kati, vyuo vikuu?
Kwa nini hawazuii na ikiwezekana wanatoa msaada?
Je huo ni mtego au silaha Yao wanayoitegemea kuitumia dhidi yetu? Je ni kiwanda kinachounda mfumo wa kutawala watu kifikr. Kupitia kile kiitwacho ukoloni mamboleo
Makanisa kujengwa Kila Kona, wahubiri Kila Miata, watu kuhubiriwa habari za ufalme wa mbinguni ilhali binadamu ufalme wao upo Hapa duniani.
Mabeberu hawazuii zaidi wanasaidia.
Je ni mtego?
Kabla ya Elimu ya Kikoloni
Ajira na KAZI zilikuwepo.
Kabla ya Dini za ukoloni. Waafrika walikuwa waaminifu.
Kama Mtibeli, nahisi harufu ya samaki hapa.
Karibuni mjadala.