Unafikiri kwa nini Mabeberu hayapigi vita maendeleo ya Makanisa na shule katika nchi maskini?

Unafikiri kwa nini Mabeberu hayapigi vita maendeleo ya Makanisa na shule katika nchi maskini?

Sasa jitu linajazwa ujinga wa kuwa duniani sio kwao kwao ni mbinguni beberu angaike nalo la kazi gani?
Ushalewa wewe, duniani sisi ni wapitaji.
tunakusubiri kule kwenye uzi wa scientific fact mkuu
 
hatuhitaji watu wanaofikiri bali wafanyakazi
hili ndilo lengo moja wapo la mwanzilishi wa mfumo mzima wa elimu
china naona wamepambana kujinasua
 
Back
Top Bottom