Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Umeona makanisa pekee, dini zingine hawajengi nyumba zao za ibada??Makanisa kujengwa Kila Kona, wahubiri Kila Miata, watu kuhubiriwa habari za ufalme wa mbinguni ilhali binadamu ufalme wao upo Hapa duniani.
Mabeberu hawazuii zaidi wanasaidia.
Je ni mtego?
Umeona makanisa pekee, dini zingine hawajengi nyumba zao za ibada??
Naona kama huwa una hoja za maana kwenye mambo ya mapenzi tu, siyo Siasa
It's a trap 🪤
Mataifa kama Korea Kusini au Singapore yalipata elimu kutoka kwa mabeberu lakini walijirekebisha ili kuendana na mahitaji yao ya kiteknolojia na viwanda.
Kwanini sisi tunashindwa kuibadilisha hii elimu?
Kwa hiyo unatakaje, dini zilizoletwa na unaowaita mabeberu zibaguliwe, zisijenge nyumba zao za kuabudia ila dini zingine waendelee kujenga?Dini nyingine zililetwa na mabeberu?
Mabeberu unawajua lakini?
Sawa, tuseme kweli hayo mataifa bado yana mkono wa mabeberu.Hayo mataifa nayaona bado yanamkono wa mabeberu.
Ni kama Israel kwa Marekani
Sasa jitu linajazwa ujinga wa kuwa duniani sio kwao kwao ni mbinguni beberu angaike nalo la kazi gani?
Kwa hiyo unatakaje, dini zilizoletwa na unaowaita mabeberu zibaguliwe, zisijenge nyumba zao za kuabudia ila dini zingine waendelee kujenga?
Achana na udini. Hoja zenye tija zinapaswa kuwa neutral.
Pia, kuna watu hufikiri mabeberu ni Wazungu pekee, jambo ambalo siyo sahihi. Wachina, Wakorea, Japan, Russia, baadhi ya nchi za Waarabu, nk ni kundi hilo hilo
View: https://x.com/i/status/1098234896408109056
Una reasoning za ovyo kweli...Habari za Jumapili.
Kwa uelewa wangu huu ninaamini kabisa Wazungu, mabeberu kamwe hawataruhusu nchi walizozitawala ikiwemo Tanzania ifanye Jambo ambalo litaiinua nchi, kuiendeleza, ikiwezekana kuwapita wap.
Mtibeli naamini, Ukiona Mzungu hakuzuii kufanya Jambo Fulani linalokufanya uendelee ujue yeye ni mnufaika mkubwa na Jambo Hilo Kwa asilomia zaidi ya 75 kisha wewe 25.
Huwezi endelea na kumzidi Mzungu kwa kutumia kitu au Jambo ambalo alilianzisha yeye na hakukatazi kulifanya.
Naamini, ukiona unafanikiwa kwenye Jambo Fulani mzungu akakuacha uendelee kufanikiwa ujue huo ni mtego, huo ni mradi, huo ni mfumo ambao mwisho wa Siku utakupeleka shimoni.
Kwa muktadha huo, unafikiri ni kwa nini mabeberu, Wazungu, hawawazuii waafrika ikiwemo sisi Watanzania kuendelea kielimu waliyotupa, Kwa kujenga shule za msingi, secondary, vyuo vya kati, vyuo vikuu?
Kwa nini hawazuii na ikiwezekana wanatoa msaada?
Je huo ni mtego au silaha Yao wanayoitegemea kuitumia dhidi yetu? Je ni kiwanda kinachounda mfumo wa kutawala watu kifikr. Kupitia kile kiitwacho ukoloni mamboleo
Makanisa kujengwa Kila Kona, wahubiri Kila Miata, watu kuhubiriwa habari za ufalme wa mbinguni ilhali binadamu ufalme wao upo Hapa duniani.
Mabeberu hawazuii zaidi wanasaidia.
Je ni mtego?
Kabla ya Elimu ya Kikoloni
Ajira na KAZI zilikuwepo.
Kabla ya Dini za ukoloni. Waafrika walikuwa waaminifu.
Kama Mtibeli, nahisi harufu ya samaki hapa.
Karibuni mjadala.
Uelewa wako na imani yako ni potofu.Habari za Jumapili.

Uelewa wako na imani yako ni potofu.
Una reasoning za ovyo kweli...
Reaso mning za chimpumu chimpumu.
Jifummnze kwanza ni nini kinahitajika ili taifa liendelee.
Kulaumu Wazungu kwenye hakuna ni dalili mojawapo ya MTINDIO WA UBONGO.
Nchi ngapi zina TAIFA, Afrika hii??Jibu swali hapo juu.
Taifa gani?
Bila ukoloni mngekuwa na taifa?