Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Inawezekana una ndoto nyingi sana, za kumiliki makampuni, viwanda, au biashara mbalimbali n.k.
Lakini unajitahidi kupambana kila siku ili uweze kutimiza ndoto zako, lakini mambo yanakwama na kugonga ukuta.
Wapo wanaosema kufanya kazi kwa bidii, kunaweza kukusababishia kutimiza ndoto zako.
Na wengine wanasema sio kufanya kazi kwa bidii; bali kufanya kazi kwa maarifa ndio itakusababishia kutimiza ndoto zako.
Lakini vijana kwa wazee wanajituma, lakini malengo hayatimii; zaidi ya kuishia kupata kipato cha kawaida cha kuendesha familia; na sio kufanya uwekezaji mkubwa n.k
Kwa mazingira hayo; Unafikiri ni nani anayekusababishia wewe kuendelea kuwa masikini?