Unafikiri ni nani anayekusababishia wewe kuendelea kuwa masikini?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Inawezekana una ndoto nyingi sana, za kumiliki makampuni, viwanda, au biashara mbalimbali n.k.

Lakini unajitahidi kupambana kila siku ili uweze kutimiza ndoto zako, lakini mambo yanakwama na kugonga ukuta.

Wapo wanaosema kufanya kazi kwa bidii, kunaweza kukusababishia kutimiza ndoto zako.

Na wengine wanasema sio kufanya kazi kwa bidii; bali kufanya kazi kwa maarifa ndio itakusababishia kutimiza ndoto zako.

Lakini vijana kwa wazee wanajituma, lakini malengo hayatimii; zaidi ya kuishia kupata kipato cha kawaida cha kuendesha familia; na sio kufanya uwekezaji mkubwa n.k

Kwa mazingira hayo; Unafikiri ni nani anayekusababishia wewe kuendelea kuwa masikini?​
 
Unaamini familia ndio inakufanya uendelee kuwa masikini?
Spot on mate. Kama familia yenyewe tayari imejichokea unadhani utatoboa bwana wewe? Tuache porojo za oh jf ur born poor thats not ur fault but if u die poor thats hr fault. Hayo maneno ya watu waliofanikiwa ili kuonyesha kuwa wao they smarter than most of us.

Ukitaka kujua kuwa familia ndio kila kitu. Nenda kasome back ground ya matajiri wote wakubwa wa dunia. Utaelewa mchango wa familia
 
Mimi mwenyewe, Sina uthubutu!
 
Kanywe bia, nakuja kulipa
 
Asante...mie bia situmki ilia natumia mbususu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna study ilifanyika marekani kuwa more than 80% za biashara zilizo anzishwa na kufanikiwa, initial capital ilikuwa mkopo toka kwa family members na sio bank.
Aliko Dangote alikopeshwa Usd300 na mjomba wake kuanzisha biashara yake
 
Inawezekana una ndoto nyingi sana, za kumiliki makampuni, viwanda, au biashara mbalimbali n.k.

Lakini unajitahidi kupambana kila siku ili uweze kutimiza ndoto zako, lakini mambo yanakwama na kugonga ukuta.

Wapo wanaosema kufanya kazi kwa bidii, kunaweza kukusababishia kutimiza ndoto zako.

Na wengine wanasema sio kufanya kazi kwa bidii; bali kufanya kazi kwa maarifa ndio itakusababishia kutimiza ndoto zako.

Lakini vijana kwa wazee wanajituma, lakini malengo hayatimii; zaidi ya kuishia kupata kipato cha kawaida cha kuendesha familia; na sio kufanya uwekezaji mkubwa n.k

Kwa mazingira hayo; Unafikiri ni nani anayekusababishia wewe kuendelea kuwa masikini?​
Kamari
 
CHUKUA HII SIRI: Maisha ni mchezo wa kutumia akili zaidi na nguvu za mwili kiasi ndio maana kichwa kiko juu na viungo vingine viko chini kuukamilisha mwili, so ukifeli kwenye maisha usigombane na watu bure.. kaa tulia.. chunguza engine ya kichwa yako utagundua kuna nati haziko sawa... fungua ubongo wako... safisha akili zako ... anza upya na hakika utafanikiwa... wanadamu wote tuko sawa lakini hatufanani..
 
Back
Top Bottom