KIXI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 2,456
- 3,274
na wewe huwezi kujiongeza au unakuwa umekatwa kichwaUkiona hivyo ujue Tatizo ni washauri waliokuzunguka

Inasikitisha sana lakini pia inaleta matumaini kuwa kumbe hawa watu hawana akili na basi muda si mrefu watatoka tuRaia wa kawaida Wana weledi kuliko walioko serekalini ,, Taifa Lina viongozi wajinga sana . Mitandao ya kijamii ni platform ya biashara kwa wengine ,ndiko wengine wanako patia riziki zao . Kuufungia ni kuwakosea watu sana.
Yani ni maajabu kutaka kuongoza watu 60 million na wote utake wawe kondoo tu. Familia tu ya watu watano lazima kuna kutokuelewana lakini kuna kuvumiliana na kusonga mbele."Rais ni mtu wa kushutumiwa kila mara, ukiona hataki kushutumiwa ujue hajui sababu ya kuwa hapo" Harry Truman
Inasikitisha sana lakini pia inaleta matumaini kuwa kumbe hawa watu hawana akili na basi muda si mrefu watatoka tu
Sasa najiuliza kama mamlaka zimezuia watanzania kutumia X je hizp post wanazotuma huko huwa wanatuma ili zisomwe na nani?Wakuu kuna jambo ambalo nimelitafakari bila kupata majibu toka serikali ilipofungia mtandao wa X almaarufu Twitter.
Nimeshindwa kuelewa hii serikali inaendeshwa na wendawazimu ama vichaa kwakuwa kwa yanayoendelea ni udhihirisho tosha kuwa ni watu wasio na weledi, reasoning na hata common sense ndio waliopewa mamlaka ya kufanya maamuzi.
Hili la kufungia mtandao wa X ni uthibitisho usio na shaka kuhusu hilo.
Yani serikali inafungia X, kwa maana hiyo hakuna mtanzania anaetakiwa kuweza ku access X (achana na VPNs, yani dhumuli la serikali ni kuwa hakuna Mtanzania anaetakiwa kuwa na access na X).
Hiyo sio shida iko sawa.
Sasa changamoto inaanza kuja kuwa hao hao waliofungia X wanaendelea kupost huko X kila siku, sio rais wa nchi, sio msemaji wa serikali, sio jeshi la polisi n.k
Sasa najiuliza kama mamlaka zimezuia watanzania kutumia X je hizp post wanazotuma huko huwa wanatuma ili zisomwe na nani?
Kuna logic hapo?
Yani hapo ni sawa na, kwamfano. Wewe una mamlaka una kanisa lako na lina waumini halafu unawakataza waumini wako wasije kanisani halafu wewe unaenda kanisani unaanza kuhubiri penye hamna watu.
Hivi sisi hii nchi tupoje?
Hiyo sababu yenyewe ni kuwa watu wanashindwa kuwajibika kwa madhaifu yao. Haiwezekani account ya jeshi la polisi idukuliwe halafu wafunge mtandao badala ya kujiwajibisha.Sababu ya kuwepo kwa picha za ngono ,haijitoshelezi. X imekuwa na members wanao ihoji serekali maswali ya msingi kweli kweli. Na serekali haina majibu ya kujibu .
Wakuu kuna jambo ambalo nimelitafakari bila kupata majibu toka serikali ilipofungia mtandao wa X almaarufu Twitter.
Nimeshindwa kuelewa hii serikali inaendeshwa na wendawazimu ama vichaa kwakuwa kwa yanayoendelea ni udhihirisho tosha kuwa ni watu wasio na weledi, reasoning na hata common sense ndio waliopewa mamlaka ya kufanya maamuzi.
Hili la kufungia mtandao wa X ni uthibitisho usio na shaka kuhusu hilo.
Yani serikali inafungia X, kwa maana hiyo hakuna mtanzania anaetakiwa kuweza ku access X (achana na VPNs, yani dhumuli la serikali ni kuwa hakuna Mtanzania anaetakiwa kuwa na access na X).
Hiyo sio shida iko sawa.
Sasa changamoto inaanza kuja kuwa hao hao waliofungia X wanaendelea kupost huko X kila siku, sio rais wa nchi, sio msemaji wa serikali, sio jeshi la polisi n.k
Sasa najiuliza kama mamlaka zimezuia watanzania kutumia X je hizo post wanazotuma huko huwa wanatuma ili zisomwe na nani?
Kuna logic hapo?
Yani hapo ni sawa na, kwamfano. Wewe una mamlaka una kanisa lako na lina waumini halafu unawakataza waumini wako wasije kanisani halafu wewe unaenda kanisani unaanza kuhubiri penye hamna watu.
Hivi sisi hii nchi tupoje?
Kazi kweli kweli.Wakuu kuna jambo ambalo nimelitafakari bila kupata majibu toka serikali ilipofungia mtandao wa X almaarufu Twitter.