Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,806
- 95,701
Wanataka kufaidi peke yao. Ni ubinafsi wa hali ya juuWanasema kuna porno kule kwenye X ndio maana wameufungia. Tafsiri yake ni kwamba hizo porno wanataka iwatazame wao na bosi wao peke yao.
Wanataka kufaidi peke yao. Ni ubinafsi wa hali ya juuWanasema kuna porno kule kwenye X ndio maana wameufungia. Tafsiri yake ni kwamba hizo porno wanataka iwatazame wao na bosi wao peke yao.
Kwani mwenye mamlaka yeye hawezi kuchanganua?Ukiona hivyo ujue Tatizo ni washauri waliokuzunguka
😁😁😁😁KmmkWanasema kuna porno kule kwenye X ndio maana wameufungia. Tafsiri yake ni kwamba hizo porno wanataka iwatazame wao na bosi wao peke yao.
🤫🤫🤫🤫hawapendi kuambiwa hivyoUwezo mdogo wa akili
Inaumiza sana, hapa kwetu mtu anazindua hospitali halafu anasema 'amejenga' hospitali lakini akiukwa anaenda nje ya nchi kutibiwa.Hii ni dharau ya hali ya juu na ukatili kwa watu unao watawala.
Kwamba unanunua magari ya million 600 wakati wananchi hawana hata baiskeli na unasema 'sisi ndio muhimu'
Ukiugua unakwenda kutibiwa nje ya nchi wakati hospitali za kawaida hazina vifaa wala dawa.
Unajilipa pensheni ya mabillion wakati wengine hata waliofanya kazi wakihangaika.
Na mara unafikia sehemu kwamba hata kile usichokitengeneza wewe kama Twitter au Whatsapp au kumnunulia bando mwananchi unazuia asikipate (asipate habari) lakini huku wewe uanatumia VPN kukipata!!!!
.....mbaya zaidi unatunga sheria kwamba mwananchi akitumia VPN ni kosa na ataenda jel!
Hata viongozi wa makanisa wana maisha yao mali na waumini lakini kuna sehemu mnashare kumunio moja kama ishara ya kuwaunganisha
Tatizo ni low IQKwani mwenye mamlaka yeye hawezi kuchanganua?
Yeah sure , But siasa ndivyo ilivyo haijawahi kuwa kitu chema Kwa maisha ya binaadamu kama tunavyo aminishwa , Maana binaadamu ni kiumbe mwenye tamaa unapo mpa power hawezi kukubali imponyoke maana amesha onja utamu wake ,, siasa ni scarmSo sad to have to reckon with
Siasa ndio maisha ndugu. Isipokuwa kama ulivyosema, intoxication ya power ni zaidi hata ya anaetumia mihadarati. Yani mtu anapoteza akili kabisa anakuwa mwehuYeah sure , But siasa ndivyo ilivyo haijawahi kuwa kitu chema Kwa maisha ya binaadamu kama tunavyo aminishwa , Maana binaadamu ni kiumbe mwenye tamaa unapo mpa power hawezi kukubali imponyoke maana amesha onja utamu wake ,, siasa ni scarm
Siasa ndio maisha najua Hilo but still ni scarm maana huwa inalenga kuwa nufaisha watu waliopo ktk mfumo zaidi kuliko wananchi husika, Yaani ni sawa sawa na wewe upate million 500 halafu umpe ndugu au jamaa yako akuhifadhie halafu awe anakupa pesa kidogo kidogo Kila unapotaka kufanya miradi yako Halafu baada ya muda unamuona ndugu yako ana Jenga nyumba Kali na ananunua gari Kali Kwa pesa zakoSiasa ndio maisha ndugu. Isipokuwa kama ulivyosema, intoxication ya power ni zaidi hata ya anaetumia mihadarati. Yani mtu anapoteza akili kabisa anakuwa mwehu
Siasa ni maisha kwa maana ya kwamba politicos ndio watunga sheria za kodi n.k. namaanisha wakiamua leo kuongeza kodi unga kilo ununue elfu kumi huna namna ya kupinga.Siasa ndio maisha najua Hilo but still ni scarm maana huwa inalenga kuwa nufaisha watu waliopo ktk mfumo zaidi kuliko wananchi husika, Yaani ni sawa sawa na wewe upate million 500 halafu umpe ndugu au jamaa yako akuhifadhie halafu awe anakupa pesa kidogo kidogo Kila unapotaka kufanya miradi yako Halafu baada ya muda unamuona ndugu yako ana Jenga nyumba Kali na ananunua gari Kali Kwa pesa zako