hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Najua yote hayo bad enough hizo Sheria wao hazi wagusi , hapo ndio utapeli unapokujaSiasa ni maisha kwa maana ya kwamba politicos ndio watunga sheria za kodi n.k. namaanisha wakiamua leo kuongeza kodi unga kilo ununue elfu kumi huna namna ya kupinga.
So reforms zinazodaiwa sio dhidi ya mtu bali ni dhidi ya mfumo ambao kwanza unapitisha watunga sheria na wasimamia sheria wasiokuwa na vigezo