Unafungia mtandao wa X, lakini wewe upo na unatuma maudhui! 😳

Anayepewa ushauri ameacha akili zake wapi mkuu? Maana ukishauriwa nawe tumia za kwako...
Hapa kwakweli ni changamoto. Sema intoxication ya power na pesa ndio blinding factor
 
Raia wa kawaida Wana weledi kuliko walioko serekalini ,, Taifa Lina viongozi wajinga sana . Mitandao ya kijamii ni platform ya biashara kwa wengine ,ndiko wengine wanako patia riziki zao . Kuufungia ni kuwakosea watu sana.
Inasikitisha sana lakini pia inaleta matumaini kuwa kumbe hawa watu hawana akili na basi muda si mrefu watatoka tu
 
"Rais ni mtu wa kushutumiwa kila mara, ukiona hataki kushutumiwa ujue hajui sababu ya kuwa hapo" Harry Truman
Yani ni maajabu kutaka kuongoza watu 60 million na wote utake wawe kondoo tu. Familia tu ya watu watano lazima kuna kutokuelewana lakini kuna kuvumiliana na kusonga mbele.
 
Inasikitisha sana lakini pia inaleta matumaini kuwa kumbe hawa watu hawana akili na basi muda si mrefu watatoka tu

Sababu ya kuwepo kwa picha za ngono ,haijitoshelezi. X imekuwa na members wanao ihoji serekali maswali ya msingi kweli kweli. Na serekali haina majibu ya kujibu .
 
Sasa najiuliza kama mamlaka zimezuia watanzania kutumia X je hizp post wanazotuma huko huwa wanatuma ili zisomwe na nani?
Wakenya hasa Martha Karua
 
Sababu ya kuwepo kwa picha za ngono ,haijitoshelezi. X imekuwa na members wanao ihoji serekali maswali ya msingi kweli kweli. Na serekali haina majibu ya kujibu .
Hiyo sababu yenyewe ni kuwa watu wanashindwa kuwajibika kwa madhaifu yao. Haiwezekani account ya jeshi la polisi idukuliwe halafu wafunge mtandao badala ya kujiwajibisha.
 
Sasa najiuliza kama mamlaka zimezuia watanzania kutumia X je hizp post wanazotuma huko huwa wanatuma ili zisomwe na nani?
Wakenya hasa Martha Karua
Ni hatari sana
 

njinjo, Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa maza amefikiwa, mkuje mara moja!
 
Kazi kweli kweli.
 
Namba 1 mwenyrwe anayetuongoza alipata sifuri kidato cha 4, ww unategemea maajabu gani hapo?!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…