Najua yote hayo bad enough hizo Sheria wao hazi wagusi , hapo ndio utapeli unapokujaSiasa ni maisha kwa maana ya kwamba politicos ndio watunga sheria za kodi n.k. namaanisha wakiamua leo kuongeza kodi unga kilo ununue elfu kumi huna namna ya kupinga.
So reforms zinazodaiwa sio dhidi ya mtu bali ni dhidi ya mfumo ambao kwanza unapitisha watunga sheria na wasimamia sheria wasiokuwa na vigezo
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchiNajua yote hayo bad enough hizo Sheria wao hazi wagusi , hapo ndio utapeli unapokuja
🤣🤣🤣Na wewe ni NRNE kwani?Sasa safari hii tunawaambia na hatuogopi
Daah kwa hiyo tulipigwa?Tatizo ni low IQ
Kwani washauri wanakulazimisha luchukua ushauri wao?!Ukiona hivyo ujue Tatizo ni washauri waliokuzunguka
Aisee mi sitaki kuwa mchawi ...Kwani wewe ni veggies?
No Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchiAisee mi sitaki kuwa mchawi ...
Ipigiwe laminationNo Reforms No Election si kauli ya kupinga uchaguzi kwa utashi wa kisiasa bali ni wito wa haki na demokrasia ya kweli. Tunadai marekebisho ya msingi katika mfumo wa uchaguzi ili kuhakikisha kila kura ina thamani, na matokeo yanayoakisi sauti ya wananchi
#NoReformsNoElection