Unahisi ni nani alifikisha suala la Feisal kwa Rais Samia na kwa lengo gani?

Zuhura Yunus
 
unadhanoRais anaishi kisiwani hamjui Feitoto

kama anawajua hadi kina Bandezu atashindwa kujua yanayotokea kwa Feisal?
Binafsi naona halijui kiundan, the way kaongea inaonesha nayeye kaweka hisia za utoto wa Feisal na sio kusimamia katika misingi ya kanuni za kisoka
 
Yanga wana watu wa soka na siyo wanasiasa, so hii issue ya Fei sidhani kama wataipeleka kwa matakwa ya wanasiasa na kuvunja sheria na mikataba inayofahamika na FIFA.

Wakienda tofauti nadhani ndiyo muda muafaka wa sisi wapenda kabumbu kufanya maamuzi mengine na hii team.
 
Mwaliko wa ikulu ulikuwa ni shubili kwa viongozi wa Yanga usiku ulikuwa nimrefu sana,wamesonya usiku kucha,mama amewapiga na kitu kizito,[emoji3][emoji3]
 
aseee tusipende kula vya watu,🤣🤣🤣 Mda wa marekesho
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mama amewakamataa patamuuuu, hawana pa kutokeaaaa.

Wanabakii kujilizaa urohoo mchezooo, woiiiiii
Pilau haliliwii bureeeee.
wakaondoka mpaka na vijiko vya ikulu mama kawaacha kumbe ndo ananogesha chambo
 
Eti kwa mujibu wa hesabu za Rage [emoji3][emoji3]
 
Feisal alisharuhusiwa kuondoka vp kuhusu eneo tulilo liomba kwa ajili ya kupanua eneo la uwanja wetu? Mama katuingiza mjini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…