Unahisi ni nani alifikisha suala la Feisal kwa Rais Samia na kwa lengo gani?

Unahisi ni nani alifikisha suala la Feisal kwa Rais Samia na kwa lengo gani?

Kauli ya Rais Samia leo ni kama ameinyooshea kidole Dar Young African (Yanga), Yanga mnaugomvi na Feisal!

Unaweza kumsikiliza tena Mh Rais alafu ukapata jibu kuwa ni nani alienda kumuelezea Mh Rais issue ya Feisal? Na je! Aliefikisha ujumbe kwa Mh Rais alikuwa wa mlengo gani? Hakuwa na upande?

Mpeleka taarifa alimueleza Mh Rais kuwa Yanga ilitoa public statement inayomtaka Feisal kufika Ofisin kwa Yanga ili waweze kumalizana kama yeye mwenyewe anataka kuvunja mkataba apigiwe hesabu zake anunue mkataba wake awe huru? Au wao wanahisi Yanga wanasema aende basi jicho lao lipo kwamba anaitwa aende akacheze tu?
View attachment 2647362
Zuhura Yunus
 
unadhanoRais anaishi kisiwani hamjui Feitoto

kama anawajua hadi kina Bandezu atashindwa kujua yanayotokea kwa Feisal?
Binafsi naona halijui kiundan, the way kaongea inaonesha nayeye kaweka hisia za utoto wa Feisal na sio kusimamia katika misingi ya kanuni za kisoka
 
Yanga wana watu wa soka na siyo wanasiasa, so hii issue ya Fei sidhani kama wataipeleka kwa matakwa ya wanasiasa na kuvunja sheria na mikataba inayofahamika na FIFA.

Wakienda tofauti nadhani ndiyo muda muafaka wa sisi wapenda kabumbu kufanya maamuzi mengine na hii team.
 
Mwaliko wa ikulu ulikuwa ni shubili kwa viongozi wa Yanga usiku ulikuwa nimrefu sana,wamesonya usiku kucha,mama amewapiga na kitu kizito,[emoji3][emoji3]
 
aseee tusipende kula vya watu,🤣🤣🤣 Mda wa marekesho
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mama amewakamataa patamuuuu, hawana pa kutokeaaaa.

Wanabakii kujilizaa urohoo mchezooo, woiiiiii
Pilau haliliwii bureeeee.
wakaondoka mpaka na vijiko vya ikulu mama kawaacha kumbe ndo ananogesha chambo
 
Labda kama hujawaelewa

Analipa milion 112 kwa mujibu wa kanuni zipi? Hiko kipengere kinatumika kama kukiwa na sababu za msingi ambazo zimeainishwa katika mkataba, kama huna sababu za msingi inakubidi ununue mkataba wako ambapo unapigiwa hesabu mkataba wako uliobaki na hizo sining fee ambapo kwa mujibu wa Rage alikadilia haitozidi milion 300 na kama Yanga watazidisha hapo basi watakuwa wamekosea sana
Eti kwa mujibu wa hesabu za Rage [emoji3][emoji3]
 
Feisal alisharuhusiwa kuondoka vp kuhusu eneo tulilo liomba kwa ajili ya kupanua eneo la uwanja wetu? Mama katuingiza mjini?
 
Back
Top Bottom