mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Nimewaza jinsi watu tunavyotumia muda mwingi kwenye maisha yetu katika kutafuta hela. Iwe ni muajiriwa wa kawaida, au hata tajiri, wote wanahangaika na pirika za kiuchumi, na kwa ujumla lengo kuu ni kupata pesa zaidi.
Sasa nimejiuliza hivi haiwezekani kuwa na hela za kutosha kiasi kwamba hutohitaji kufanya kazi tena? Na kama inawezekana, ni kiasi gani cha fedha kinahitajika?
Sasa nimejiuliza hivi haiwezekani kuwa na hela za kutosha kiasi kwamba hutohitaji kufanya kazi tena? Na kama inawezekana, ni kiasi gani cha fedha kinahitajika?