Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,404
- 5,682
Alinipa koti la mtumba nilikaa nalo kwa miaka mitano, tulipoachana niliamua kumpa mtu mwingine sifahamu kama analo.
Mwanaume wa Kibongo kupiga goti ni undezi.
Alinizawaidia saa ya Audemars Piguet, bahati mbaya hatukuweza kuendelea tena💔
Hii ni nini? Zawadi gani?
Niko sawa Mkuu, kwani Mzee Baba wewe nawe ulipiga goti?Noèl Ngiama Makanda - Werrason
Upo sawa mkuu. 😁
Maharage hayo mzeeHii ni nini? Zawadi gani?
Mnaongea tu mkitoka hapa mnaenda kupiga🤭Niko sawa Mkuu, kwani Mzee Baba wewe nawe ulipiga goti?
Astghafirullah 🤣Subhanallah....🙊View attachment 3588303