Unaikumbuka zawadi ya kwanza uliowahi kumpa/kupewa na mpenzi wako wa kwanza?

Unaikumbuka zawadi ya kwanza uliowahi kumpa/kupewa na mpenzi wako wa kwanza?

Na maviatu yake kama ya mwalimu wa ma
20260511_210113.jpg
the🤣
 
Dah! Manzi alikupenda mkuu!
Mimi nakumbuka, nikiwa form six, nimewahi mzawadia mtu flani, kidani "bracelet" safi angavu cha kuitwa "Le couer de la mer".
Mpaka leo waga abaniambia ndio zawadi yake kubwa amewahi pewa na mwanaume! 😊
Love was so pure.. naona kama mapenzi sikuizi yamebadilika 😂 .


Nakumbuka nilendesha baisikeli na jua la Dodoma kutoka kikuyu - nkuhungu boda kufata discount ya Saa niliyotaka nimpe zawadi 😂.
 
Back
Top Bottom