Unaikumbuka zawadi ya kwanza uliowahi kumpa/kupewa na mpenzi wako wa kwanza?

Unaikumbuka zawadi ya kwanza uliowahi kumpa/kupewa na mpenzi wako wa kwanza?

Love was so pure.. naona kama mapenzi sikuizi yamebadilika šŸ˜‚ .

Nakumbuka nilendesha baisikeli na jua la Dodoma kutoka kikuyu - nkuhungu boda kufata discount ya Saa niliyotaka nimpe zawadi šŸ˜‚.

Yes man, gone are the days!
Mimi nimecheza sana mitaa ya Nkhuhungu, nilikuwa natoka Nkhuhungu, nakuja tokea Mnadani, naenda mpaka Miyuji, Mipango kule kwa baiskeli. 😁
 
Hii hapa,nilimpa mwali mmoja .Hatukuongeleshana week nzima .
12412.jpg
 
Back
Top Bottom