ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Heb mie 🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Yaani penye miti hakunaga wajenzi aloooooo...😋Astghafirullah 🤣
Chap, nishakuchek PM...😋Heb mie 🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Huyo ndio mama wa mtoto wangu na hiyo saa alinizawadia siku ya send off yake, mtoto na hiyo saa ndio zaidi pekee kutoka kwake za thaman kubwa sana kwangu , japo saa imeharibika ila nimeitunza tu.Dah! Manzi alikupenda mkuu!
Mimi nakumbuka, nikiwa form six, nimewahi mzawadia mtu flani, kidani "bracelet" safi angavu cha kuitwa "Le couer de la mer".
Mpaka leo waga abaniambia ndio zawadi yake kubwa amewahi pewa na mwanaume! 😊
Basi miti ikatwe 😅Yaani penye miti hakunaga wajenzi aloooooo...😋
EiaiSubhanallah....🙊View attachment 3588303
🤣🤣😳Chap, nishakuchek PM...😋
Niko sawa Mkuu, kwani Mzee Baba wewe nawe ulipiga goti?
Apia!😜Mnaongea tu mkitoka hapa mnaenda kupiga🤭
Huyo ndio mama wa mtoto wangu na hiyo saa alinizawadia siku ya send off yake, mtoto na hiyo saa ndio zaidi pekee kutoka kwake za thaman kubwa sana kwangu , japo saa imeharibika ila nimeitunza tu.
Thanks Brother....Hata mimi nilisimama kama mlingoti.Siwezi mkuu, wakati namchumbia shemeji yako (Mke wangu), kulikuwa na hiyo session ya kuvishana pete, mimi nilisimama muda wote, wakati navisha na wakati navishwa.
MC wa tukio lile si akamwambia msindikizaji wangu aniambie nipige goti, nikamwambia achana nae asitumudu. 😁
😊ulianza vizuri broBetri ya simu ndogo na saa ya mkononi. Form 3 hiyo.
Hatukudumu hata. Alihamia shule nikamuwahi ila akawa na mambo mengi tukaachana na alikuwa anapenda sana hela.😊ulianza vizuri bro
AjitafakariDah! Manzi alikupenda mkuu!
Mimi nakumbuka, nikiwa form six, nimewahi mzawadia mtu flani, kidani "bracelet" safi angavu cha kuitwa "Le couer de la mer".
Mpaka leo waga abaniambia ndio zawadi yake kubwa amewahi pewa na mwanaume! 😊