Unaikumbuka zawadi ya kwanza uliowahi kumpa/kupewa na mpenzi wako wa kwanza?

Unaikumbuka zawadi ya kwanza uliowahi kumpa/kupewa na mpenzi wako wa kwanza?

Alikuwa na dada yake anaishi huko mambeleee, akamtumia viatu vikalii balaa. Akaviuza then akaninunulia zawadi ya saa, perfume, kadi, mdoli na hela zilizobaki akanipa. Msala home kuhusu viatu sijui aliumalizaje🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom