Unaikumbuka zawadi ya kwanza uliowahi kumpa/kupewa na mpenzi wako wa kwanza?

Alinizawaidia saa ya Audemars Piguet, bahati mbaya hatukuweza kuendelea tena💔

Dah! Manzi alikupenda mkuu!
Mimi nakumbuka, nikiwa form six, nimewahi mzawadia mtu flani, kidani "bracelet" safi angavu cha kuitwa "Le couer de la mer".
Mpaka leo waga abaniambia ndio zawadi yake kubwa amewahi pewa na mwanaume! 😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…