Unaikumbuka zawadi ya kwanza uliowahi kumpa/kupewa na mpenzi wako wa kwanza?

Dah! Manzi alikupenda mkuu!
Mimi nakumbuka, nikiwa form six, nimewahi mzawadia mtu flani, kidani "bracelet" safi angavu cha kuitwa "Le couer de la mer".
Mpaka leo waga abaniambia ndio zawadi yake kubwa amewahi pewa na mwanaume! 😊
Love was so pure.. naona kama mapenzi sikuizi yamebadilika πŸ˜‚ .


Nakumbuka nilendesha baisikeli na jua la Dodoma kutoka kikuyu - nkuhungu boda kufata discount ya Saa niliyotaka nimpe zawadi πŸ˜‚.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…