Byakatonda
JF-Expert Member
- Oct 14, 2021
- 475
- 927
Wewe unaumia nini?. Kaamua mwenyewe wewe inakuuma nini hata akinyonywa acha afe.Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Mkuu Nyamaza kimya, Hujui lolote, umekariri shahidi lazima akutetee,Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Ila Kuna watu ni wajinga sana, hivi unapomtishia mwenzio kifo unadhani wewe hautakuwa kwenye hilo fungu la kifo? Tena Bora mwenzio atakufa kifo Cha kishujaa ambacho kitabakia ktk historia Daima. Tufupishe tu hakuna mtu wa kumnyonga Lissu
Kamq ni IQ ya ulopokaji, kweli anayo IQ kubwa sana.Lissu ana akili kubwa sana. Anayoyawaza yeye kichwani ni tofauti kabisa na wewe unachokiwaza. Ile ni gifted IQ, master mind
Shida ya elimu mbalimbali ndio hii,Elimu dunia nayo muhimu shehe!Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Mimi ni mkilima wa maharagwe huku Ipalamwa.Mkuu school of law ulipiga mwaka gani?
Tatizo lako unasumbuliwa na Ujinga!!Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Mbowe alimuonya sana yeye na Heche lakini sikio la kufa halisikii dawa.Huoni unajichanganya mwenyewe sasa?
Kama Lissu angeamua kula maisha angekula hadi anakufa maana kwa matukio ya wazi ya kushambuliwa kwake mchana kweupe angeomba hifadhi ya kisiasa kokote duniani angepewa na angelipia kila kitu yeye na familia yake.
Lakini ili uone kuwa ni mpigania haki na mzalendo wa kweli kwenye nchi yake ameamua kuacha neema zote hizo akaamua kukubaliana na kila aina ya mateso.
Asingekuwa mkombozi wa kweli basi angeshawanyenyekea watawala muda mrefu na angeungana nao kutafuna nchi.
Ni ili awapige maswali washindwe kujibu huku dunia inaangalia.Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Ana elimu mbalimbali ya kuandika kuanzia mwisho kuja mwanzo, si kosa lake.Mkuu Nyamaza kimya, Hujui lolote, umekariri shahidi lazima akutetee,
Unaelewa strategy ya Lissu ni nini?Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Mimi sio mwanasheria ila nimewaza na kuona anacho kifanya Lisu ni kujipalia mkaa wa moto usoni. Unaitaitaje walio kushitaki na kukulalamikia eti waje kukutetea?Unaelewa strategy ya Lissu ni nini?
Unafahamu cross examination ni nini na inaweza kutupeleka wapi katika kesi hii iwapo Lissu atawahoji hao mashahidi?
Wewe una qualification gani katika sheria?
Jamaa siyo mzima, alidhani hawatakuja sasa watakuwa mashidi dhidi yake maana watakubali ni kweli akifanya uhaini na hawezi kuwauliza maswali ya wao waseme hakufanya uhaini.Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Maswali ya Cross examination utakayomuuliza shahidi wako ni tofauti na utakayomuuliza mshitaki wako.Unaelewa strategy ya Lissu ni nini?
Unafahamu cross examination ni nini na inaweza kutupeleka wapi katika kesi hii iwapo Lissu atawahoji hao mashahidi?
Wewe una qualification gani katika sheria?
Mimi hata sihangaiki kusoma ushuzi wakeNikimuona mtu ana critisize Lissu , huwa ninakuwa na mashaka na uwezo wake wa kufikiri..
Anyway .. time will tell
Kwa kanuni gani unampangia Lissu maswali?Maswali ya Cross examination utakayomuuliza shahidi wako ni tofauti na utakayomuuliza mshitaki wako.
Hawezi kuwabishia mashahidi wake wakisema ni kweli ndugu Yao akifanya uhaini.
Wewe Msabato umeshatoka kwenye makambi? Msalimia sana Mwana SDA mwenzako ZCO FAUSTINE JACKSON MAFWELE .Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Uko ya ngapi?!Msaidieni mawazo......ujuaji mwingi unapoteza maarifa.
eti unaita mashahidi.....alidhani hawatokuja sasa watakuja halafu ushahidi utazidi kumwelemea yeye.
Endapo atakutwa na hatia, adhabu yake ni KUNYONGWA HADI KUFA.
Wacha tusubiri tuone anacho kitafuta kwa mashahidi wa upande wa jamuhuri.
Polepole, Nchimbi NK wako wapi? Hakuna anayejali Hadi Leo.S
Wamemwona Lissu ni lofa maana ht hajui anapigania nini. Mke na watoto wanakula maisha Ulaya mwenyewe anateseka eti anatafuta ukombozi, mnyaturu mpumbavu yule. Mbishi, mjuaji, mshamba asiyejua siasa