Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Mkuu unasoma taarifa za CAF
CAF wanasema for the first time ,Wewe unasema miaka 30 iliyopita
Heshima taarifa za wahusika,Chanzo cha taarifa za mpira wa mashindano ya Afrika yanatoka CAF
Nenda website ya CAF.
Wameingia chaka halafu wakakuchukua na wewe mkaenda wote.. Rejea historia ya haya mashindano mwaka 1993 SIMBA alifanya nini
Pamoja nitakuwa Bundesliga hapo saa2 kamili ndani ya nyumbaRock city, Mwanza ❤️❤️
1.4K reactions · 34 comments | TAIFA KUBWA SIMBA 🦁🔥🔥🔥 | Simba Jr Sport+255
TAIFA KUBWA SIMBA 🦁🔥🔥🔥www.facebook.com
1.4K reactions · 34 comments | TAIFA KUBWA SIMBA 🦁🔥🔥🔥 | Simba Jr Sport+255
TAIFA KUBWA SIMBA 🦁🔥🔥🔥www.facebook.com
Asante sana inaelekea huyu ni mtoto wa juzi na hafuatilii mpira6.2K reactions · 17 shares | Aliyekuwa nahodha wa kikosi chetu kilichocheza fainali ya Kombe la CAF mwaka 1993, Mohamed Mwameja akizungumzia ilivyokuwa katika fainali ile ambayo tulikutana na Stella Abidjan lakini pia ujumbe wake kwa nahodha wa sasa
Aliyekuwa nahodha wa kikosi chetu kilichocheza fainali ya Kombe la CAF mwaka 1993, Mohamed Mwameja akizungumzia ilivyokuwa katika fainali ile ambayo tulikutana na Stella Abidjan lakini pia ujumbe...www.facebook.com
😀😀😀 hapana mkuu nimeshavuka tangu mchana muda huu niko ndani ya jiji la Kampala.. Ngoja nirudi i will do the needfulMkuu kama bado uko bukoba ,tafadhali fika rwamishenye kuna mbibi nampenda sana na kumkubali sana ,pita msalimie kwa niaba yangu kwakusema mjukuu wako anakupenda sana .
Najua bibi kwa kukuona wewe ataamini mjukuu wake sasa najielewa na pia nimebadilika kama ninao marafiki kama wewe .
Anyway simba nenda sisi nyuma yako