Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
- Thread starter
- #21
Nani Kasema hawafai?. Au umejilisha wewe upepo.?.Kwahiyo unataka kusema wasiojua hesabu wote hawafai kuwa baba? Wasizae?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani Kasema hawafai?. Au umejilisha wewe upepo.?.Kwahiyo unataka kusema wasiojua hesabu wote hawafai kuwa baba? Wasizae?
tusibishane sana m nataka nikupe swali la darasa la tano ilo ilo au la nne na nina uhakika hutapata Carlos The JackalEt Baba wa nyumba...
Haiwezekani unasomesha mtoto Intaneshino skuli, alafu jioni mtoto wako anarudi home.
Ile ameshakula Cha usiku, anachukua Daftari, anakufata wewe Baba yake, Baba umekaa kwenye Sofa, na Miwani yako na Upara, kifua wazi ,na Pensi lako , Baba Bonge na likitambi hilooo alafu mbaya zaidi Tall unamwili mkubwaaa
Binti yako wa Darasa la Sita, anakuambia "Dadii nielekeze jinsi ya kutafuta Eneo la Trapeza, Dadii nielekeze jinsi ya kutafuta Uwiano , Dadii nielekeze jinsi ya kutafuta Eneo la Nusu duara lenye nusu kipenyo kwakutumis Pai =22/7, Dadii nielekeze namna yakusoma majira ya nukta , Dadii nielekeze Namna ya kutafuta mzingo wa eneo lilotiwa kivuli kwenye hili umbo..
👉Alafu Dadii mwenyeweee Kanjanjaa, hajui Kila kituuu
We sio Dadii wee ni Kenge Mmoja tu uliyekua unaogopa Hesabu 🤣
Nimejisikia tu Leo kuwatendea hili!!
Povuu povuuu Kisha tuhamie kula kimasihara
Kajipigapiga kweli Kama baba au kaka wa madogo lazima ujionheze ongeze akikupa unaoitisha vidore ukiota mziki unamwambia uko bizeMaana yangu nihiyo hata km umesahau Dadii... Ivi mtoto anakuambia Dadii ivi..
Unashindwa hata kujipiga piga Dadiii kweli🤣🤣
Kwanza kuna kusahau...Mipango ya kupanga ni mingi bado na mtoto tena akuletee kanuni sijui za mzingo wa duara umsaidie aisee [emoji848]
Mmh hayaNani Kasema hawafai?. Au umejilisha wewe upepo.?.
Aaahhh Sasa utani tu wee unataka iwe kweli🤣🤣tusibishane sana m nataka nikupe swali la darasa la tano ilo ilo au la nne na nina uhakika hutapata Carlos The Jackal
Exactly [emoji817]Hakuna mtu aliyemaliza darasa la saba miaka hio yaani 2005 kurudi nyuma akawa anakumbuka hizo hisabati na kama bado unakumbuka hizo hesabu either wewe Ni mwalimu wa hisabati shule ya msingi Kama sio mwalimu Basi ubongo wako huna kazi ya kufanya
Wanaozijua mpaka Leo Basi wamezipitia nankujikumbusha kwanza
Alafu ukijechek ni Dadii hahahah huna Hata Jerohili lakawaida sana jambo laaibu na fedheha nipale unapoombwa jero ukawa huna
Ma Dadiii hatutaki shida, tuna mambo lukukiJibu la dadii " wee mtoto mimi niko busy mpelekee mama yako huko"
hapo hapo dadii kuonesha yupo busy anapiga simu " wee dereva mbonaa hunisikilizi lakini? Hilo gari lirudishe nyumbani kama limekushinda.
😂😂😂😂 Nimecheka mpka basi,Leo umewaweza japo watakushambulia ila ujumbe ndio Usha wafikia usijali Wala nini 🏃🏃🏃🏃🏃Et Baba wa nyumba...
Haiwezekani unasomesha mtoto Intaneshino skuli, alafu jioni mtoto wako anarudi home.
Ile ameshakula Cha usiku, anachukua Daftari, anakufata wewe Baba yake, Baba umekaa kwenye Sofa, na Miwani yako na Upara, kifua wazi ,na Pensi lako , Baba Bonge na likitambi hilooo alafu mbaya zaidi Tall unamwili mkubwaaa
Binti yako wa Darasa la Sita, anakuambia "Dadii nielekeze jinsi ya kutafuta Eneo la Trapeza, Dadii nielekeze jinsi ya kutafuta Uwiano , Dadii nielekeze jinsi ya kutafuta Eneo la Nusu duara lenye nusu kipenyo kwakutumis Pai =22/7, Dadii nielekeze namna yakusoma majira ya nukta , Dadii nielekeze Namna ya kutafuta mzingo wa eneo lilotiwa kivuli kwenye hili umbo..
👉Alafu Dadii mwenyeweee Kanjanjaa, hajui Kila kituuu
We sio Dadii wee ni Kenge Mmoja tu uliyekua unaogopa Hesabu 🤣
Nimejisikia tu Leo kuwatendea hili!!
Povuu povuuu Kisha tuhamie kula kimasihara
Kabisa yani, tena hii ya kusahau, wahanga tupo wengi sana.Kwanza kuna kusahau...
Mimi niliweza kumsaidia dogo hesabu hadi form two baada ya hapo nilishindwa.
Na kumsaidia kwenyewe ni kwenye baadhi ya topics.
Jukumu langu km Baba ni kumpa mwanangu mahitaji yake yote na sio Kujua hesabu na kuweza kumuelekeza.Et Baba wa nyumba...
Haiwezekani unasomesha mtoto Intaneshino skuli, alafu jioni mtoto wako anarudi home.
Ile ameshakula Cha usiku, anachukua Daftari, anakufata wewe Baba yake, Baba umekaa kwenye Sofa, na Miwani yako na Upara, kifua wazi ,na Pensi lako , Baba Bonge na likitambi hilooo alafu mbaya zaidi Tall unamwili mkubwaaa
Binti yako wa Darasa la Sita, anakuambia "Dadii nielekeze jinsi ya kutafuta Eneo la Trapeza, Dadii nielekeze jinsi ya kutafuta Uwiano , Dadii nielekeze jinsi ya kutafuta Eneo la Nusu duara lenye nusu kipenyo kwakutumis Pai =22/7, Dadii nielekeze namna yakusoma majira ya nukta , Dadii nielekeze Namna ya kutafuta mzingo wa eneo lilotiwa kivuli kwenye hili umbo..
[emoji117]Alafu Dadii mwenyeweee Kanjanjaa, hajui Kila kituuu
We sio Dadii wee ni Kenge Mmoja tu uliyekua unaogopa Hesabu [emoji1787]
Nimejisikia tu Leo kuwatendea hili!!
Povuu povuuu Kisha tuhamie kula kimasihara
Acha uboya na wewe. Kwani ubaba ni kujua mahesabu ya darasani? Mbona mababu zetu waliendesha familia zao kwa mafanikio kabisa bila kujua hata kusoma na kuandika, sembuse kujua mahesabu??Et Baba wa nyumba...
Haiwezekani unasomesha mtoto Intaneshino skuli, alafu jioni mtoto wako anarudi home.
Ile ameshakula Cha usiku, anachukua Daftari, anakufata wewe Baba yake, Baba umekaa kwenye Sofa, na Miwani yako na Upara, kifua wazi ,na Pensi lako , Baba Bonge na likitambi hilooo alafu mbaya zaidi Tall unamwili mkubwaaa
Binti yako wa Darasa la Sita, anakuambia "Dadii nielekeze jinsi ya kutafuta Eneo la Trapeza, Dadii nielekeze jinsi ya kutafuta Uwiano , Dadii nielekeze jinsi ya kutafuta Eneo la Nusu duara lenye nusu kipenyo kwakutumis Pai =22/7, Dadii nielekeze namna yakusoma majira ya nukta , Dadii nielekeze Namna ya kutafuta mzingo wa eneo lilotiwa kivuli kwenye hili umbo..
[emoji117]Alafu Dadii mwenyeweee Kanjanjaa, hajui Kila kituuu
We sio Dadii wee ni Kenge Mmoja tu uliyekua unaogopa Hesabu [emoji1787]
Nimejisikia tu Leo kuwatendea hili!!
Povuu povuuu Kisha tuhamie kula kimasihara
DuuhhAcha uboya na wewe. Kwani ubaba ni kujua mahesabu ya darasani? Mbona mababu zetu waliendesha familia zao kwa mafanikio kabisa bila kujua hata kusoma na kuandika, sembuse kujua mahesabu??