Unajiita Baba/Kichwa cha Familia halafu mtoto wako anakuletea swali la Hesabu ya Darasa la tano, hujui!!

Kwanza huyo baba ni wa kupongezwa, ametambua umuhimu wa elimu ndio maana kampeleka mtoto shule, mengine ni ya ziada ynna njia mbadala.
 
Mwalimu wa kujitegemea niko hapa. Kama kuna dadii amekwama asikonde..aunt mama am proudly here. Kwa siku 1000..kumfundisha mwanao. 😌
 
Et Baba wa nyumba...

Haiwezekani unasomesha mtoto Intaneshino skuli, alafu jioni mtoto wako anarudi home.

Ile ameshakula Cha usiku, anachukua Daftari, anakufata wewe Baba yake, Baba umekaa kwenye Sofa, na Miwani yako na Upara, kifua wazi ,na Pensi lako , Baba Bonge na likitambi hilooo alafu mbaya zaidi Tall unamwili mkubwaaa

Binti yako wa Darasa la Sita, anakuambia "Dadii nielekeze jinsi ya kutafuta Eneo la Trapeza, Dadii nielekeze jinsi ya kutafuta Uwiano , Dadii nielekeze jinsi ya kutafuta Eneo la Nusu duara lenye nusu kipenyo kwakutumis Pai =22/7, Dadii nielekeze namna yakusoma majira ya nukta , Dadii nielekeze Namna ya kutafuta mzingo wa eneo lilotiwa kivuli kwenye hili umbo..

👉
Alafu Dadii mwenyeweee Kanjanjaa, hajui Kila kituuu

We sio Dadii wee ni Kenge Mmoja tu uliyekua unaogopa Hesabu 🤣

Nimejisikia tu Leo kuwatendea hili!!
Povuu povuuu Kisha tuhamie kula kimasihara

😂😂😂
Vijana mmevurugwa Kweli.
Mmeamua kutusagia kunguni Baba zenyu
 
Baba kuwa na pesa na kujua kuendelea kuzizalisha inatosha

Hayo mengine ya kujua hesabu ni mambo madogo sana

Ni heri ujue kunyandua mbususu kwa ustadi kuliko hata kujua kanuni za trapezia
Tangu uanze kunyandua mbususu umepata nini?
 
Sasa yeye alifata nini shule kama kafika la 5 na hajui formula?
 
Baba kuwa na pesa na kujua kuendelea kuzizalisha inatosha

Hayo mengine ya kujua hesabu ni mambo madogo sana

Ni heri ujue kunyandua mbususu kwa ustadi kuliko hata kujua kanuni za trapezia
Unatofauti gani na nyani? Hv kwanini hamuoni hata aibu kusifia ujinga? Au ndio kukata tamaa.
 
Hakuna mtu aliyemaliza darasa la saba miaka hio yaani 2005 kurudi nyuma akawa anakumbuka hizo hisabati na kama bado unakumbuka hizo hesabu either wewe Ni mwalimu wa hisabati shule ya msingi Kama sio mwalimu Basi ubongo wako huna kazi ya kufanya

Wanaozijua mpaka Leo Basi wamezipitia nankujikumbusha kwanza
2005? Kweli mna vichwa vya panzi. Wenzako tulimaliza miaka ya 1989 kurudi nyuma tunakumbuka vizuri sana. Kwanza huwezi kusahau hizo hesabu mpaka unazeeka. Nyie hamkusoma militia shuleni km mpita njia tu. Ujue maana ya mzingo uje kusahau? Sijui eneo, majira ya nukta, na nini tena? Kumbe watu watupu hivi? Halafu mnajificha kwenye pesa, hivyo vitu havina uhusiano.
 
Umeeleweka tunaweza onana au pendekeza njia yoyote kwa upande wako itayofaa zaidi nikupe mtihani wa darasa la tano hata nje ya JF nipo tayari kuonana na wewe nikukabidhi mtihani uufanye mimi nipo free weekend.... siupendi kubishana Sana.
 
Et Baba wa nyumba...

Haiwezekani unasomesha mtoto Intaneshino skuli, alafu jioni mtoto wako anarudi home.

Ile ameshakula Cha usiku, anachukua Daftari, anakufata wewe Baba yake, Baba umekaa kwenye Sofa, na Miwani yako na Upara, kifua wazi ,na Pensi lako , Baba Bonge na likitambi hilooo alafu mbaya zaidi Tall unamwili mkubwaaa

Binti yako wa Darasa la Sita, anakuambia "Dadii nielekeze jinsi ya kutafuta Eneo la Trapeza, Dadii nielekeze jinsi ya kutafuta Uwiano , Dadii nielekeze jinsi ya kutafuta Eneo la Nusu duara lenye nusu kipenyo kwakutumis Pai =22/7, Dadii nielekeze namna yakusoma majira ya nukta , Dadii nielekeze Namna ya kutafuta mzingo wa eneo lilotiwa kivuli kwenye hili umbo..

👉
Alafu Dadii mwenyeweee Kanjanjaa, hajui Kila kituuu

We sio Dadii wee ni Kenge Mmoja tu uliyekua unaogopa Hesabu 🤣

Nimejisikia tu Leo kuwatendea hili!!
Povuu povuuu Kisha tuhamie kula kimasihara

Inaonekana; Huyo mtoto ni kilaza mkubwa katika hessbu au labda hiyo shule asomayo inao walimu vilaza.
 
Umeeleweka tunaweza onana au pendekeza njia yoyote kwa upande wako itayofaa zaidi nikupe mtihani wa darasa la tano hata nje ya JF nipo tayari kuonana na wewe nikukabidhi mtihani uufanye mimi nipo free weekend.... siupendi kubishana Sana.
Umeutoa wapi huo mtihani. We umechanganyikiwa kalale. Mi hayo kwangu ni mambo madogo, hata uwe wa form four basi tu hapa JF hakuna anayemjua mwenzie
 
Mkuuu Mimi hayo yote nayaelewa ,mwenyewe ni Baba na Kichwa Cha Familia .

Hoja yangu nikwamba ,Hawa watoto Kuna wakati wanarudi na kazi za kufanya home, na wanajisikia Furaha zaidi wanapokushirikisha wewe Baba.

Sasa anapokushirikisha ukiwa kama Baba, lazima uonyeshe kitu banaa .

Siamini kama akikuuliza, Baba Mwalimu Nyerere hivi alizaliwa lin??.

Kama hutomjibu nahilo basi utakua humtendei haki
Acha uboya na wewe. Kwani ubaba ni kujua mahesabu ya darasani? Mbona mababu zetu waliendesha familia zao kwa mafanikio kabisa bila kujua hata kusoma na kuandika, sembuse kujua mahesabu??
 
Back
Top Bottom