Unajiita Baba/Kichwa cha Familia halafu mtoto wako anakuletea swali la Hesabu ya Darasa la tano, hujui!!

tusibishane sana m nataka nikupe swali la darasa la tano ilo ilo au la nne na nina uhakika hutapata Carlos The Jackal
 
Maana yangu nihiyo hata km umesahau Dadii... Ivi mtoto anakuambia Dadii ivi..

Unashindwa hata kujipiga piga Dadiii kweli🀣🀣
Kajipigapiga kweli Kama baba au kaka wa madogo lazima ujionheze ongeze akikupa unaoitisha vidore ukiota mziki unamwambia uko bize
 
Mipango ya kupanga ni mingi bado na mtoto tena akuletee kanuni sijui za mzingo wa duara umsaidie aisee [emoji848]
Kwanza kuna kusahau...
Mimi niliweza kumsaidia dogo hesabu hadi form two baada ya hapo nilishindwa.
Na kumsaidia kwenyewe ni kwenye baadhi ya topics.
 
Exactly [emoji817]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Oya Madadii, najua utetezi wenu ni kwamba.

Nmeshaisahau.

Na mambo mengi.

Nawaza Hela .

Mimi nimetania tuu Madadii on the other hand, maana yangu nikwamba, Dadiii lazima uwe na kitu Cha kusema kwa mwanao linapokuja suala la shule
 
Jibu la dadii " wee mtoto mimi niko busy mpelekee mama yako huko"
hapo hapo dadii kuonesha yupo busy anapiga simu " wee dereva mbonaa hunisikilizi lakini? Hilo gari lirudishe nyumbani kama limekushinda.
 
Ma Dadiii hatutaki shida, tuna mambo lukuki
 
Vitu vya msingi kwa mtu yoyote alie soma akue kusoma, kuandika, na kuhesabu,

Kujua kufanya hesabu ni vizuri Sana ingawa sio lazima, mbona Kuna mambo mengi tuu ya kufanya nje ya hesabu?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nimecheka mpka basi,Leo umewaweza japo watakushambulia ila ujumbe ndio Usha wafikia usijali Wala nini πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Kwanza kuna kusahau...
Mimi niliweza kumsaidia dogo hesabu hadi form two baada ya hapo nilishindwa.
Na kumsaidia kwenyewe ni kwenye baadhi ya topics.
Kabisa yani, tena hii ya kusahau, wahanga tupo wengi sana.
 
Jukumu langu km Baba ni kumpa mwanangu mahitaji yake yote na sio Kujua hesabu na kuweza kumuelekeza.
 
UNAJUA KAZI YA BABA?
Baba kazi yake sio kujua unayotakiwa kujua wewe
 
Acha uboya na wewe. Kwani ubaba ni kujua mahesabu ya darasani? Mbona mababu zetu waliendesha familia zao kwa mafanikio kabisa bila kujua hata kusoma na kuandika, sembuse kujua mahesabu??
 
Acha uboya na wewe. Kwani ubaba ni kujua mahesabu ya darasani? Mbona mababu zetu waliendesha familia zao kwa mafanikio kabisa bila kujua hata kusoma na kuandika, sembuse kujua mahesabu??
Duuhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…