Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
- Thread starter
-
- #61
Mkuu wangu, nawaheshimu sana sana, Nyinyi ni wanaume wenzangu, wapambanaji na baba Bora wa familia zenu !!Unatukosea heshima kaka
Mkuu watoto Lazima tuwapeleke shuleKwanza huyo baba ni wa kupongezwa, ametambua umuhimu wa elimu ndio maana kampeleka mtoto shule, mengine ni ya ziada ynna njia mbadala.
Mwalimuuu ni ka miaka 5 Sasa, utakaweza?.Mwalimu wa kujitegemea niko hapa. Kama kuna dadii amekwama asikonde..aunt mama am proudly here. Kwa siku 1000..kumfundisha mwanao. 😌
🤣🤣🤣Ni heri ujue kunyandua mbususu kwa ustadi kuliko hata kujua kanuni za trapezia
Mimi nilikuwa napata hesabu 15 ya 50😂 alafu Dadi ndo awe hivo sijui tutawaambia nn watu😂😂😂
Demi nataka uje geto unipigie pindi la hesabuKwanza kuna kusahau...
Mimi niliweza kumsaidia dogo hesabu hadi form two baada ya hapo nilishindwa.
Na kumsaidia kwenyewe ni kwenye baadhi ya topics.
@mpwayungu village ngoja aione hii comment.Sasa Unalipa Ada ya nini.?
Ndio maana kuna Walimu.
Huwezi kujua kila kitu kilichopo kwenye hii dunia.Watoto wenzake wanamwambia Binti yako..
Ngoja nikifika nyumban, namwambia Dadii anifundishe nielewe vizuri
Wee Dadii na litaulo lako vihesabu vidogo Hujui🤣
Dadii Nina mambo meng...nenda Kwa Mama yako.Mimi nilikuwa napata hesabu 15 ya 50😂 alafu Dadi ndo awe hivo sijui tutawaambia nn watu😂😂😂
🤣🤣Ndio shida ya wanawake hii. Wanataka wanaume tujue kila kitu.
Sual la form four unajua wewe nimekwambia tafuta muda wako unaoweza kuwa free nikupe pepa la darasa la tano sio muda wa mipasho Kama unaimba taarabuUmeutoa wapi huo mtihani. We umechanganyikiwa kalale. Mi hayo kwangu ni mambo madogo, hata uwe wa form four basi tu hapa JF hakuna anayemjua mwenzie
Jamaa anataka tufanye majukumu ya wengine hata kama hatuyamudu.Sasa Unalipa Ada ya nini.?
Ndio maana kuna Walimu.
Babuuu umemkomalia jamaaSual la form four unajua wewe nimekwambia tafuta muda wako unaoweza kuwa free nikupe pepa la darasa la tano sio muda wa mipasho Kama unaimba taarabu
Hoja iwe mzazi ndo Mwalimu wakwanza wakumsaidia mtoto.Kwani kazi ya walimu nini huko shuleni
Ni nani akague daftari za watoto wetu?Esabu za la tano mimi na miaka yangu 42 wapi na wapi mzee?!