Unajiita Baba/Kichwa cha Familia halafu mtoto wako anakuletea swali la Hesabu ya Darasa la tano, hujui!!

Hesabu nilizopiga za kumnyandua mama yake.
Kwa siku hii ya hatari, niEXCUTE SIMPLE HARMONI MOTION kwa speed gani, nimuweke kwenye angle gani, nifanyaje ili utelezi uwe mwingi friction ipungue,mzigo umwagikie ndani kabisa. πŸ˜‚
Hesabu hizo zinatosha.
 
Hahahaha na imetosha, Toto asilete ujinga
 
Dadii Nina mambo meng...nenda Kwa Mama yako.

Na jamaa yangu fulan ukooni yeye hakusoma , jamaa wanae wakimletea daftari, kwanza anazigeuza juu chini .

Sema anavyopambana kusomesha balaaa
πŸ˜‚Na mama mtu nikishindwa tutaita waandishi wa habari kutolea ufafanuzi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Waalimu kazi yao nini ....niwalipe halafu niwasaidie majukumu yao ....huo nao utoto pia....nimelipa ada na ghalama nyingingine ili mtoto wangu afundishwe sio mie nimfundishe .
 
Waalimu kazi yao nini ....niwalipe halafu niwasaidie majukumu yao ....huo nao utoto pia....nimelipa ada na ghalama nyingingine ili mtoto wangu afundishwe sio mie nimfundishe .
Dadii kwenye moja na mbiliπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndo maana siwez oa mwanamke kilaza[emoji23]
Mwanamke kilaza unamjua wewe?

Kwa muktadha huo hata mama yako tutamwita kilaza kwa kuzaa mtoto asiyewaza sawasawa kwa ubongo wake maana mada mezani ina-discus masuala ya kinababa wewe unachomekea habari za kinamama.

Hiyo ni sifa mojawapo ya watoto waliozaliwa na vilaza.
 
Kwahyo kama baba sikufanikiwa kapata elim na mtoto wangu najitahid apate elim bora unataka kusemaje?

Kazi ya baba ni kuhakikisha mtoto anapata elim na malezi bora pamoja na familia kwa ujumla.

Hayo mengine ni yako umeamua kujiandikia kwa vibe zako za pombe pombe
 
heri ujue kunyandua mbususu kwa ustadi kuliko hata kujua kanuni za trapezia
 
Mwalimuuu ni ka miaka 5 Sasa, utakaweza?.
Miaka mitano yote iyo, nimeshazoea kufundisha watoto wa miaka mitatu. Kumfundisha mtoto unatakiwa uwe very patient. Plus vimotisha vya hapa na pale. Ukitaka kujifunza highest degree of patience fundisha daycare. 😊😊
 
Hongera nitakuja unifundishe maana watoto ni noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…