Mtu wa hvy akitusua ndugu zake wataleta matercall yao nsaidie nsaidie pumbavMkuu hii mada imenikumbusha maisha anayoishi kijana mmoja mwanachuo,ni yatima pia ndugu zake hawana support yoyote kwake.Anaishi kwa shida sana, kwa siku anakula mlo mmoja tu.Hana mkopo,alipomaliza form four alipata div one akaamua kujiunga na chuo kwa ngazi ya diploma.Alipata wasamaria wawili wa kumlipia ada kwa muda wote wa miaka mitatu ya masomo yake.Shida kubwa ipo kwenye gharama za menyu & stationary.Ana jitihada sana hata masomo yake anapata A,ila waswas wangu ni performance yake inaeza kushuka kutokana na hz changamoto anazokutana nazo.
Dah!!!,hapo ndipo watoto wa kike huwa wananichosha.Nikiona habari kama hizi huwa nakumbuka jamaa mmoja alikuwa anahangaika na maisha akiwa analea watoto wake baada ya mama yao kufariki
Alipambana na mmmoja wa watoto wake wa kike akafanikiwa kufika chuo kikuu
Jamaa alikuwa na furaha sana na kusema nimepambana haswa ila mwaka wa pili msichana karudi home kwao mjamzito
Aliponiambia roho iliniuma sana ila alikuwa strong na kuikubali hali ile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Eti mimba nyingi kuliko first class.Angejifungua mbona ila inategemea alikuwa chuo gani, chuo kama ATC kubeba mimba ni ajabu ila chuo kama SAUT kuna mimba nyingi kuliko first class GPA. Kacheki waliojifungua walivyojazana
Ni kweliMara nyingi wale wanaosoma kwa taabu ndio hua wanafanya vizuri kuliko wale wenye kila kitu.
Fursa hiiNinamaanisha mkuu. Kama una address zao (wawili wa kuanzia) nipatie
I sometimes cry! It pains a lot!Ila maisha ya chuo sometimes ni msoto sana. Daaah Jah atusaidie kwa kweli.
'Mafisi' mumeshaanza![emoji38][emoji38]Fursa hii
Inauma sana!Vp pale unapoona mshkaji wako njaa ime mpiga afu we una enda kuhonga dem vocher
Binafsi sina upuuzi huo, nihonge wakati mwanangu anakufa njaa? Hapana. Hata wewe sikushauri ufanye hivyo.Vp pale unapoona mshkaji wako njaa ime mpiga afu we una enda kuhonga dem vocher
Nenda kituo chochote cha yatima ukatoe msaada. Kama hujui vilipo sema hapa tukutajie makumi ya vituo vya yatima na wazee.On a Serious note kama unawafahamu wa hivyo nipe address zao. Ni kwa wema tu mkuu
😀😀Vp pale unapoona mshkaji wako njaa ime mpiga afu we una enda kuhonga dem vocher
Sio chuo mzebaba, msuli wa chuo na pesa vinaenda sambamba hizo assignment kibao, nauli kama unatoka mbali, msosi mavazi. Hiyo kitu ipo sana level za chini ila chuo mzee sijaiona hiyo kitu aiseeMara nyingi wale wanaosoma kwa taabu ndio hua wanafanya vizuri kuliko wale wenye kila kitu.
Hoja ya msingi.Tatizo watoto wa kike nao ni pasua kichwa sana. We utadhani ana mawazo ya maisha yake kumbe anamuwaza boyfriend wake tu sio maisha wala nini. Na wengine wakishaanza kupendeza full kunata na kuiga maisha ya wenzao.
Kuna mdogo wangu anamalizia dip ila kozi yake wamejaa wazazi wakati age yao wengi ni 19-20. Uvaaji wao sasa nao ni utata kupindukia. Kila nikimpigia simu mara ameshika mtoto wa nani, marafiki zake wengi nilikuwa nawamezea wamwjifungua.Kuna rafiki angu nae yupo SAUT, kajifungua karibuni hivi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikiona habari kama hizi huwa nakumbuka jamaa mmoja alikuwa anahangaika na maisha akiwa analea watoto wake baada ya mama yao kufariki
Alipambana na mmmoja wa watoto wake wa kike akafanikiwa kufika chuo kikuu
Jamaa alikuwa na furaha sana na kusema nimepambana haswa ila mwaka wa pili msichana karudi home kwao mjamzito
Aliponiambia roho iliniuma sana ila alikuwa strong na kuikubali hali ile
Ila maisha ya chuo sometimes ni msoto sana. Daaah Jah atusaidie kwa kweli.
Dah!!!,hapo ndipo watoto wa kike huwa wananichosha.