Unajisikiaje kumuona binti chuoni hapati mahitaji kisa hana pesa?

Unajua nimeshaenda vituo vingapi vya mayatima kutoa nilichonacho? Kumsaidia yatima aliyepo kwenye kituo cha kulea yatima na kumsaidia yatima aliyeko chuoni unaona kuna tofauti kwako?

Kwanini kila mtu mnamuona limbumeni wa mapenzi hivi?
Soma aya yangu ya pili
 
Ugumu wa maisha si kwa akina dada tu. Vipi wale wa kiume wanaokosa hata namna ya kula vyuoni ?!.

Hapa nadhani ungependekeza kila mwana chuo apewe BOOM , maadhal ame qualifie kujiunga.
 
Siku zote mabinti ndo wana hurumiwa but men wanakufa na tai shingoni🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️
 
Mimi nilijua unasema wanatembae uchi.....alafu usikute unasema wanavaa vibaya kwa sababu labda hawavai vimini na vinguo vya kubana .

Kama wanavaa na maungo yao yamesitiriwa hamna shida .

Kuhusu njaa wapambane njaa kila kona ....
 
Sio chuo mzebaba, msuli wa chuo na pesa vinaenda sambamba hizo assignment kibao, nauli kama unatoka mbali, msosi mavazi. Hiyo kitu ipo sana level za chini ila chuo mzee sijaiona hiyo kitu aisee
Ni kweli kabisa yaan.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ni kweli hata huyo rafiki angu nae ni Education lol.
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Ubarikiwe sana.
 
Kama unammoja unayemfahamu awe wakike nipatie namba yake,hua nikifikiria changamoto wanazopitia hawa mabint nahuzunikaga sana
 
Sio chuo mzebaba, msuli wa chuo na pesa vinaenda sambamba hizo assignment kibao, nauli kama unatoka mbali, msosi mavazi. Hiyo kitu ipo sana level za chini ila chuo mzee sijaiona hiyo kitu aisee
True mkuu..

Mtu hujui utakula nini unadhani hata mood ya kwenda lecture hall/room utakuwa nayo?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…