Unajisikiaje kuwa na mwanamke mwenye 'Wigi'


wanawake wengi wenye waume zao wa ndoa hawafanyi hivyo vitu na hii ni kwa kuwa mara nyingi hukosolewa na waume wao.
Ukiona mwanaume anapapatikia wanawake artificial kwanza huyo mwanaume kichwani hamna kitu oili hana mtazamo wowote chanya kwa kile anachokitaka
Karibia vidume vyote hapa vimeponda wavaa mawigi, ninachojiuliza ni nani anadate nao huku mtaani? πŸ˜ƒπŸ˜ƒ Acheni unafiki nyie viumbe

Wanadate na mabishoo walamba midomo ila sisi WANAUME wenye malengo na mwanamke HATUTAKI
 
Rebecca, Sky Eclat, Heaven Sent, Khantwe, Madame, Hawachi na wengineo msipite kimya kimya ktk hii mada maana mnatupa wasiwasi kujua kuwa ninyi ni Ke/Me au dume jike[emoji87] hahaaa...nawatania tu wadau.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nawaona wanaume jinsi mnavyo fanya unafiki kiwango cha lami kwenye hii mada πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Mpaka nikuite jamani, nisaidie tu kujua Ever/Hawa aliweka wigi alipovutiwa na Adamu, alilitoa wapi[emoji848][emoji56]

Sent using Jamii Forums mobile app
Enzi za Adamu na Hawa ni tofauti ni sisi kwa nini naandika hivi, Baadhi ya wanawake wanaishi kwa kuangalia wanaume wanapenda nini kwa kipindi hicho kuna kipindi wanawake wengi walikuwa wanajichubua why kwa sababu wanaume wengi walipenda hayo makitu, kuongeza makalio sasa ndio habari ya mjini, kifupi nyinyi mnapenda ndio maana wanawake nao wanajiongeza, Mimi sipendi hiyo fashion ya wigi kichwani zaidi ya kunyoa la sivyo ningevaa maana najua mnayapenda hasa mwanamke akivaa japo hapa mnakataa kinafiki πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Si kila akusifiaye anakupenda bali wapo Watu wengine huendeshwa kihisia/tamaa ili aweze kukutumia kistarehe wala si kimaisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi 'Lipstick' ndo kuweka virangi kwenye mdomo!?
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

T[emoji769]
 
Karibia vidume vyote hapa vimeponda wavaa mawigi, ninachojiuliza ni nani anadate nao huku mtaani? [emoji2][emoji2] Acheni unafiki nyie viumbe
Hahahaaaa...... Hudate na wasiojitambua.

T[emoji769]
 
Duuuh!!
Asante kwa somo mkuu. Ila wanawake kazi ipo [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi huwa napenda nikiwa na mahusiano yaliyopita nshanunua sana wigi ya laki 2-5 ,napenda ila wigi iwe nyeusi tuu ,sio njano blue etc ,na isiwe ndefu
 
Mita NNE mbona chache ni mita 100

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…