Unajisikiaje kuwa na mwanamke mwenye 'Wigi'

Unajisikiaje kuwa na mwanamke mwenye 'Wigi'

Nyie wanaume nanyi hamsomeki
Mbona mm sivai wigi nna nywele zangu natural sibandiki kucha. Siachi mapaja wazi, etc lakini hamna hata wa kunishobokea mitaani wote mnabanana kwa wavaa mawigi
emoji29.png
emoji856.png
au ndo tatizo nyota

Sent using Jamii Forums mobile app

wanawake wengi wenye waume zao wa ndoa hawafanyi hivyo vitu na hii ni kwa kuwa mara nyingi hukosolewa na waume wao.
Ukiona mwanaume anapapatikia wanawake artificial kwanza huyo mwanaume kichwani hamna kitu oili hana mtazamo wowote chanya kwa kile anachokitaka
Karibia vidume vyote hapa vimeponda wavaa mawigi, ninachojiuliza ni nani anadate nao huku mtaani? 😃😃 Acheni unafiki nyie viumbe

Wanadate na mabishoo walamba midomo ila sisi WANAUME wenye malengo na mwanamke HATUTAKI
 
Rebecca, Sky Eclat, Heaven Sent, Khantwe, Madame, Hawachi na wengineo msipite kimya kimya ktk hii mada maana mnatupa wasiwasi kujua kuwa ninyi ni Ke/Me au dume jike[emoji87] hahaaa...nawatania tu wadau.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nawaona wanaume jinsi mnavyo fanya unafiki kiwango cha lami kwenye hii mada 😄😄😄
 
Mpaka nikuite jamani, nisaidie tu kujua Ever/Hawa aliweka wigi alipovutiwa na Adamu, alilitoa wapi[emoji848][emoji56]

Sent using Jamii Forums mobile app
Enzi za Adamu na Hawa ni tofauti ni sisi kwa nini naandika hivi, Baadhi ya wanawake wanaishi kwa kuangalia wanaume wanapenda nini kwa kipindi hicho kuna kipindi wanawake wengi walikuwa wanajichubua why kwa sababu wanaume wengi walipenda hayo makitu, kuongeza makalio sasa ndio habari ya mjini, kifupi nyinyi mnapenda ndio maana wanawake nao wanajiongeza, Mimi sipendi hiyo fashion ya wigi kichwani zaidi ya kunyoa la sivyo ningevaa maana najua mnayapenda hasa mwanamke akivaa japo hapa mnakataa kinafiki 😀😀😀
 
Si kila akusifiaye anakupenda bali wapo Watu wengine huendeshwa kihisia/tamaa ili aweze kukutumia kistarehe wala si kimaisha.
Enzi za Adamu na Hawa ni tofauti ni sisi kwa nini naandika hivi, Baadhi ya wanawake wanaishi kwa kuangalia wanaume wanapenda nini kwa kipindi hicho kuna kipindi wanawake wengi walikuwa wanajichubua why kwa sababu wanaume wengi walipenda hayo makitu, kuongeza makalio sasa ndio habari ya mjini, kifupi nyinyi mnapenda ndio maana wanawake nao wanajiongeza, Mimi sipendi hiyo fashion ya wigi kichwani zaidi ya kunyoa la sivyo ningevaa maana najua mnayapenda hasa mwanamke akivaa japo hapa mnakataa kinafiki [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaambiaga sana dada zangu kuwa mambo wanafanya wakidhani wanapendeza machoni kwa wanaume kumbe ndo wanatuchukiza mno
1.Kuvaa mawigi
2.Kucha bandia
3.Kope bandia
4.kujichubua
5.LIPSTICK
6.KUACHA MAPAJA WAZI

hivi vitu huwa vinanikera mno, sijui ni nani aliyewaambia wakiwa wasafi tu wa kawaida hawatongozwi
yaani hata marashi tu mtu anajipulizia utadhani anajiandaa kuzikwa ukikaa mita nne toka alipo tayari ushapata kipanda uso, warembo wa hivyo nakaa nao mbali kabisa
Hivi 'Lipstick' ndo kuweka virangi kwenye mdomo!?
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

T[emoji769]
 
Karibia vidume vyote hapa vimeponda wavaa mawigi, ninachojiuliza ni nani anadate nao huku mtaani? [emoji2][emoji2] Acheni unafiki nyie viumbe
Hahahaaaa...... Hudate na wasiojitambua.

T[emoji769]
 
Ndio Mkuu [emoji23][emoji23] kuna Original na fake. Yaani wigi Original ni nywele halisi za binadamu naskia kuna baadhi ya wahindi huwa wanafanya hio Biashara wanafuga nywele then wanazikata nywele zao na kuziuza kwa makampuni ya nywele, huko zinafangwa wigi na weaving kisha kuuzwa bei ghali zaidi kwa wavaagi.
Duuuh!!
Asante kwa somo mkuu. Ila wanawake kazi ipo [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi huwa napenda nikiwa na mahusiano yaliyopita nshanunua sana wigi ya laki 2-5 ,napenda ila wigi iwe nyeusi tuu ,sio njano blue etc ,na isiwe ndefu
1059772
 
Nawaambiaga sana dada zangu kuwa mambo wanafanya wakidhani wanapendeza machoni kwa wanaume kumbe ndo wanatuchukiza mno
1.Kuvaa mawigi
2.Kucha bandia
3.Kope bandia
4.kujichubua
5.LIPSTICK
6.KUACHA MAPAJA WAZI

hivi vitu huwa vinanikera mno, sijui ni nani aliyewaambia wakiwa wasafi tu wa kawaida hawatongozwi
yaani hata marashi tu mtu anajipulizia utadhani anajiandaa kuzikwa ukikaa mita nne toka alipo tayari ushapata kipanda uso, warembo wa hivyo nakaa nao mbali kabisa
Mita NNE mbona chache ni mita 100

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom