Senorita23
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 388
- 484
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie wanaume nanyi hamsomeki
Mbona mm sivai wigi nna nywele zangu natural sibandiki kucha. Siachi mapaja wazi, etc lakini hamna hata wa kunishobokea mitaani wote mnabanana kwa wavaa mawigi
au ndo tatizo nyota![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibia vidume vyote hapa vimeponda wavaa mawigi, ninachojiuliza ni nani anadate nao huku mtaani? 😃😃 Acheni unafiki nyie viumbe
Kuna kipindi niliifanya hii biashara ya mawigi, nlikuwa nawasifia tu wamependeza,, ila pesa mmmhNi kweli unaweza kabisa comfortably ukawa na mwanamke aliyevaa wigi jamani?
Shame on you guys.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeeeeh! Basi mimi dunia imenipita kushotoNina ndugu yangu wa kike ana saluni na duka la hayo makolokolo ya kike kutoka China,kuna mengine anayauza hata kwa milioni mbili na yananunuliwa.
Nawaona wanaume jinsi mnavyo fanya unafiki kiwango cha lami kwenye hii mada 😄😄😄Rebecca, Sky Eclat, Heaven Sent, Khantwe, Madame, Hawachi na wengineo msipite kimya kimya ktk hii mada maana mnatupa wasiwasi kujua kuwa ninyi ni Ke/Me au dume jike[emoji87] hahaaa...nawatania tu wadau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawaona wanaume jinsi mnavyo fanya unafiki kiwango cha lami kwenye hii mada [emoji1][emoji1][emoji1]
Hahahaha nimeona ajabu kwa kweli hali ya kuwa asilimia 95 ya wanawake wanavaa wigiWanaume wakiwa huku wanakua wanafki sana.
Hao wanaotupaga hela za kucha na nywele sijuii wanatokea sayari gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila huku wanashangaa etiHahahaha nimeona ajabu kwa kweli hali ya kuwa asilimia 95 ya wanawake wanavaa wigi
Enzi za Adamu na Hawa ni tofauti ni sisi kwa nini naandika hivi, Baadhi ya wanawake wanaishi kwa kuangalia wanaume wanapenda nini kwa kipindi hicho kuna kipindi wanawake wengi walikuwa wanajichubua why kwa sababu wanaume wengi walipenda hayo makitu, kuongeza makalio sasa ndio habari ya mjini, kifupi nyinyi mnapenda ndio maana wanawake nao wanajiongeza, Mimi sipendi hiyo fashion ya wigi kichwani zaidi ya kunyoa la sivyo ningevaa maana najua mnayapenda hasa mwanamke akivaa japo hapa mnakataa kinafiki 😀😀😀Mpaka nikuite jamani, nisaidie tu kujua Ever/Hawa aliweka wigi alipovutiwa na Adamu, alilitoa wapi[emoji848][emoji56]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha nimecheka sana comment
Enzi za Adamu na Hawa ni tofauti ni sisi kwa nini naandika hivi, Baadhi ya wanawake wanaishi kwa kuangalia wanaume wanapenda nini kwa kipindi hicho kuna kipindi wanawake wengi walikuwa wanajichubua why kwa sababu wanaume wengi walipenda hayo makitu, kuongeza makalio sasa ndio habari ya mjini, kifupi nyinyi mnapenda ndio maana wanawake nao wanajiongeza, Mimi sipendi hiyo fashion ya wigi kichwani zaidi ya kunyoa la sivyo ningevaa maana najua mnayapenda hasa mwanamke akivaa japo hapa mnakataa kinafiki [emoji3][emoji3][emoji3]
Una maanisha wavaa wigi hawawezi kuolewa hebu wanaume wote gomeni kwa wale mnao wapenda wasivae mawigi tuone hali itakuwaje huku mtaani 😄😄Si kila akusifiaye anakupenda bali wapo Watu wengine huendeshwa kihisia/tamaa ili aweze kukutumia kistarehe wala si kimaisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo "kwenye msafara wa mamba kenge huwa hawakosekani"[emoji847]Una maanisha wavaa wigi hawawezi kuolewa hebu wanaume wote gomeni kwa wale mnao wapenda wasivae mawigi tuone hali itakuwaje huku mtaani [emoji1][emoji1]
Hivi 'Lipstick' ndo kuweka virangi kwenye mdomo!?Nawaambiaga sana dada zangu kuwa mambo wanafanya wakidhani wanapendeza machoni kwa wanaume kumbe ndo wanatuchukiza mno
1.Kuvaa mawigi
2.Kucha bandia
3.Kope bandia
4.kujichubua
5.LIPSTICK
6.KUACHA MAPAJA WAZI
hivi vitu huwa vinanikera mno, sijui ni nani aliyewaambia wakiwa wasafi tu wa kawaida hawatongozwi
yaani hata marashi tu mtu anajipulizia utadhani anajiandaa kuzikwa ukikaa mita nne toka alipo tayari ushapata kipanda uso, warembo wa hivyo nakaa nao mbali kabisa
Hahahaaaa...... Hudate na wasiojitambua.Karibia vidume vyote hapa vimeponda wavaa mawigi, ninachojiuliza ni nani anadate nao huku mtaani? [emoji2][emoji2] Acheni unafiki nyie viumbe
Duuuh!!Ndio Mkuu [emoji23][emoji23] kuna Original na fake. Yaani wigi Original ni nywele halisi za binadamu naskia kuna baadhi ya wahindi huwa wanafanya hio Biashara wanafuga nywele then wanazikata nywele zao na kuziuza kwa makampuni ya nywele, huko zinafangwa wigi na weaving kisha kuuzwa bei ghali zaidi kwa wavaagi.
Mita NNE mbona chache ni mita 100Nawaambiaga sana dada zangu kuwa mambo wanafanya wakidhani wanapendeza machoni kwa wanaume kumbe ndo wanatuchukiza mno
1.Kuvaa mawigi
2.Kucha bandia
3.Kope bandia
4.kujichubua
5.LIPSTICK
6.KUACHA MAPAJA WAZI
hivi vitu huwa vinanikera mno, sijui ni nani aliyewaambia wakiwa wasafi tu wa kawaida hawatongozwi
yaani hata marashi tu mtu anajipulizia utadhani anajiandaa kuzikwa ukikaa mita nne toka alipo tayari ushapata kipanda uso, warembo wa hivyo nakaa nao mbali kabisa