Unajisikiaje pindi unapopiga simu ya mpenzi wako na kukuta inatumika zaidi ya mara 5?

ngoja namm nianze kutafuta marafiki wakike maana sinaga
 
Mimi nimekosa suluhu maana ni muathirika wa upweke, ingawa ukweli ukiwa bize na kazi walao inapunguza, ila baada ya kazi ndio unajawa na upweke, na wikiendi kama hivi.
Ukisema uende aut nako utakutana na upweke tu, marafiki nao waweza kuwa sababu ya kukosa furaha na kuongeza upweke.
 
Piga simu mara moja asipopokea na una jambo muhimu la kumwambia mtumie msg. Akimaliza mazungumzo atakupigia.
Hakuna kitu kinakera kama unaongea na call one halafu kuna mtu anakupigia non stop utasema nyumba inawaka moto. Ukisema ukate line uliyokuwa unaongea nayo utasikia ....nambie!
 
Basi mkuu.tutafute vile vinatupa unafuu kupunguza upweke.wapenzi warabaki wa ziada hata akikupotezea angalau Kuna vitavyokuliwzza japo si kama yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…