Unajisikiaje pindi unapopiga simu ya mpenzi wako na kukuta inatumika zaidi ya mara 5?

nalijuaje hilo kisudi
 
Umeongeza nilipoishia, asie elewa hatoelewa tena..Ameen
 
Hio mara tano ni ndani ya muda gani sekunde, dakika 10 robo saa ama?
 
Na ivi ndo inavyotakiwa me mke wng hata awe anaongea na mama ake nikipiga cm yng atakata cm ya mama ake na kupokea cm yng
Huyo ukute alishapitiaga hiyo situation huko nyuma na ilimuumiza hivyo anajua akikufanyia wewe itakuuma kama ilivyokuwa inamuuma yeye inshort hapendi akupoteze
 
Mpenzi ana ndugu jamaa nmarafiki wengine nje yako.

Mda huo anakuwa anawasiliana na mojawapo ya hao.

Yeah pia kama husomeki anaweza kuwa anawasiliana na wanaosomeka.
 
Mtoa mada kuna jambo lako hapa


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…