Binafsi hata kupostiwa mitandaoni naona nachoreshwa tu, yaani hata sipendi.Sijui inakuwaje yaani kwani kupostiwa kwenye social media ndio inaonyesha kama unapendwa? Upendo upo moyoni sio kupostiwa kwenye ma social networks
Hata wewe mwana falsafa umeingia kwenye huo mtego?Tuacheni na ujinga wetu
Hata wewe mwana falsafa umeingia kwenye huo mtego?
HahahahahaUsiniambie na wewe ni baba wa kambo? 🤣
Mie nilijua kweliNazingua tuu.
Single mother ninaweza kumuoa nikiwa above 50yrs, kama simba Mzee asiyeweza kuwinda
Kuoa single maza ni kujishusha thamani sana kwa mwanamume. Yaani unaanza maisha ya ndoa kwa kulea mtoto asiye wako. Hivi hiyo ni akili au matope?Wewe uliyenae ulimkuta bikra mkuu?.. au Ni Mama WA marehemu mbalimbali[emoji23][emoji23][emoji23]
Faida ya Kwanza ya single Maza anakupa assurance kwamba anaweza kuzaa.. sio Hao wenu unaweka ndani alafu unanza kuzunguka Kwa Mwamposa kutafuta mtoto..[emoji23][emoji23][emoji23]
Mie nilijua kweli
Upo sahihi.Mjinga ni mwanaume anayezaa hovyo hovyo na hajui hata malezi ya mtoto wake yakoje, yupo busy kutamba kwa rafiki zake ana watoto kadhaa kila mmoja na mama yake, kwangu huyo ni mwanaume mjinga na hajitambui.
Nilitaka nishangae Taikon kaingiaje mkengeNazingua tuu.
Single mother ninaweza kumuoa nikiwa above 50yrs, kama simba Mzee asiyeweza kuwinda
😁Huu mtego nimedumbukia had kutangaza ndoa singo maza wana nguvu nyie nilizubaishwa nashtuka watoto wawil sjui nilipgwa juju [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Nipeni mbinu nijinasue kwny huu mtego wakuu .....
Nilitaka nishangae Taikon kaingiaje mkenge
Ila watu[emoji1787][emoji1787] ilimradi tu mwenzenu aumieJipe moyoooooo utayashinda[emoji23][emoji23][emoji23] mzimu wa mumewe bado unajipigia usiku kila siku
Hao single maza wapo na nyinyi ili muwalelee watoto wao ila hakuna upendo wowoteYaani wewe kukimbia watoto hilo halituhusu sababu mwanaume akimbii mtoto anapambana mwanzo mwisho hata kama ni kwa kufanya vibarua 🤣🤣🤣
Tulia usaidiwe na wanaume mvulana kaa pembeni mishindo ya watu wanaume huiwezi. Unafikiri mapenzi ni kumpandia juu tu🤣🤣
Ma singo maza wanajua mapenzi ukiingia na tabia za ki loverboy hutokiHahaha! Nomah sana.
Hahahaha asanteNice to see you hapa 😂😂😂
Wajinga sana haoKijana anatumika kulea Mabao ya mwanaume mwenzie.
Hivyo vitu ulivyovitaja hapo juu sidhani kama vinahitaji muda mrefu na akili ya chuo kuvigundua.Ulionyeshwa kaburi na cheti cha kifo cha mumewe?
Siku isiyo na jina usije shangaa kidume anakuja from no where kumchukua mtoto wake na wewe unadhani alikufa.